classic

  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Barnaba Classic azungumzia kuhusu mwonekano wake wa kike

    Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike. Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion...
  3. AsteryBoy

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Classic And International Adroind And iOS Mobile Application

    ...deleted
  4. kibovu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kikali chenye watoto classic Dar es Salaam

    Wakuuuu poleni na majukum. Ndugu yenu nimekuwa kikazi mkoani yapata miaka mwaka mmoja leo nimelejea jijini dar es salaam . Ndugu zangu kipindi cha nyuma nimekula bata viwanja vilivyokuwa vinapiga mziki mkubwa watoto classic wanakata uno kama sinza lacherz, 5N mliman city, samaki samaki...
  5. H

    JamiiForums Tanzania My Weekend Playlist

    Here are some of my classic hits playlist 01. Ace Of Base - Everytime It Rains 02. Angelique Kidjo - Agolo 03. Donna Summer - Unconditional Love 04. Jade - Don't Walk Away 05. Baltimora - Tarzan Boy
  6. Tall Guy fam

    JamiiForums Tanzania Ibra classic vs Mmalawi ilikuwa ni bonge la mechi

    Habari wakuu, Kwa kifupi pambano la Ibra na mmalawi lilikua tamu sana, I'm sure hata wale waliolipa laki au zaidi pale ukumbini pesa zao zimeenda kihalali. Majaji siku ya leo walikua fair, kwa maoni yangu tumeshindwa na kushinda kihalali. Pongezi nyingi kwa Ibra kwa kutupa pambano zuri saaana...
  7. mshamba_255

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni na ushauri kuhusu Range rover classic

    Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
  8. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi sofa nzuri

    Wadau habari zenu, Nina hitaki sofa classic za ngozi ziwe zinauwezo wa kubinuka mfano pale unapotaka kulala unaikunjua kama siti ya gari una lala na baadae unairudishia kama ilivyokua ...kama kunsmtu anafaham utaratibu wowote wa kuzipata nitafurahi hatakama ni kuagiza nje ya nchi nipo tayari...
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lodge iliyojificha classic maeneo ya Kigamboni

    Wakuu umofia kwenu...kuna mtoto mmoja nataka nimle vya kutosha maeneo ya kigamboni....sasa natafuta classic iliyojificha maeneo ya kigamboni..bdget yangu ni kuanzia 35000 hadi 50000
  10. Bellami

    JamiiForums Tanzania Changamkia nguo za watoto classic

    Pata nguo kali za watoto kwa 5000 tu Dar es Salaam 0752976792💎 Check na picha hapa 👇
Back
Top Bottom