chupa

Chupá is a corregimiento in Macaracas District, Los Santos Province, Panama with a population of 520 as of 2010. Its population as of 1990 was 637; its population as of 2000 was 564.

View More On Wikipedia.org
  1. Pakome

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  2. Insidious

    Kero ya rundo la takataka za chupa zilizotumika Tabata Kimanga

    Kwa mamlaka husika, Afisa mazingira na NEMC Naomba kuwasikisha malalamiko kuhusu mkusanyiko wa chupa za plastiki zilizotumika, kama inavyoonekana kwenye picha iliyoambatishwa. Eneo hili lipo Tabata Kimanga opposite ofisi ya serikali ya mtaa na pia karibu na sheli ya ATN na hali hii...
  3. Mwachiluwi

    Utamaduni huu wa kunywa maji ya chupa nyumbani unanitesa

    Hivi ni mimi tu naona haya au Maji ya kilimanjaro now yana chumvi sijui biashara imewashinda Maji ya GSM naona mabaya yakiwa ya moto au baridi Maji ya Dewdrop ni mazuri sana ila siwez kuafford kwa mwenzi nakomaa na kilimanjaro Uhai ndio kabisa na sijui nan kaleta utamaduni uhuu wa kunywa...
  4. Mshana Jr

    Sanaa ya upambaji chupa

    Kuna mfanyabiashara mkubwa sana wa chupa tupu Tanganyika ni mwana JF mwenzetu... Na ofisi zake kubwa kubwa zipo Dar.. Wilaya ya Ubungo na Temeke.. Nadhani na mikoani pia ana matawi Ni mfanyabiashara mkubwa kwakuwa anasafirisha mpaka nje ya nchi hasa Zambia, Rwanda na Kenya Ni mahiri kwenye hii...
  5. P

    UG &TZ chupa na mfuniko

    Nilijaribu kulinganisha risala za wafanyakazi wa hizi nchi mbili kwa kuangalia UBC kwa mda mfupi ayse tutachelewa mno kupafikia matarajio yetu ni uchawa na uchawi eb tune kidogo UBC ,utatapika
  6. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia chupa tupu za plastic na madumu tupu

  7. robbyr

    Ardhi inalia kisa chupa za plastiki

    Picha: My Camera "Hatuna dunia nyingine. Lazima tuitunze na kuihifadhi." – Wangari Maathai Kuna mdau aliandika hapa kuwa mmeamua kupamba jiji la Dar kwa chupa za plastiki. Sasa hii hapa ni Kilimanjaro na ni picha ya eneo moja Kama elimu yaijatukomboa fikra zetu basi hata sheria na kanuni...
  8. Mshana Jr

    Ubunifu wa vizibo vya chupa

  9. U

    Zipi Sababu baada ya kuweka pamoja kwa friji chupa 3 za maji kampuni uhai, hill na kilimanjaro, nimekuta chupa 1 tu ndiyo imeganda kabisa?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya kampuni moja ya Uhai ndiyo yameganda na kuwa barafu kabisa huku mengineyo bado kuganda Mazingira...
  10. Jaji Mfawidhi

    Masaki na Oysterbay : Wapangaji Wagonga Chupa! Kodi kulipwa kwa Dolari!

    Wakazi wa Masaki na Oysterbay ambao ni wapangaji kwenye nyumba za mabwanyeye wamejikuta wakishangilia na kuamshana kwenye makundi yao ya WatsApp baada ya ddola kuporomoka dhidi ya shilingi. Nyumba za Oyesterbay na Masaki nyingi zilikuwa ni za umma/serikali watu wakauziwa bei ya soda, wao...
  11. Dr. Zaganza

    Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
  12. G

    Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
  13. J

    Tunauza chupa za kunyweshea ndama maziwa

    TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE hii...
  14. J

    TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE

    TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE hii...
  15. tang'ana

    Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  16. MIXOLOGIST

    MJADALA HURU: Chupa elfu moja za mafuta ya watoto zilizokutwa nyumbani kwa PDiddy zilikua na matumizi gani

    Waswahili wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni Hatukatai PDiddy anao watoto na pengine wanatumia sana mafuta Siyo vibaya pia ata yeye kama anayatumia na ata akijipaka makalioni Swala la msingi la kuuliza hayo mafuta yote chupa 1000 alikua anatumia kwaaajili gani AU TUMUULIZE...
  17. Hismastersvoice

    Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  18. SSH2025_2030

    Aliyeingizwa chupa sehemu ya haja na Mhe. Gekul asaidiwe kisaikolojia

    Kijana anayesemekana aliingizwa chupa sehemu za haja kubwa na Mheshimiwa Naibu Waziri (Mstaafu) na Mbunge wa Babati Mjini anastahili huduma za kisaikolojia vinginevyo tutampoteza Kwa kadhia Ile.
  19. Suley2019

    SI KWELI Picha ya Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa amelazwa hospitali ilikuwa na chupa ya Konyagi kwa pembeni

    Salaam Wakuu, Nimekutana na chapisho hili kutoka Twitter, ina ukweli?
  20. Suley2019

    SI KWELI Mbowe apiga picha ikiwa na chupa ya Konyagi nyuma yake

    Habari Wakuu, nimekutana na picha ikimuonesha Mbowe amepiga picha mbele ya TV huku nyuma kukiwa na chupa ya Konyagi. Je, picha hii ni halisi? ---
Back
Top Bottom