Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nahitaji chumba single self.
Bajeti yangu ni 50k hadi 120k.
Ikipatikana haya maeneo itakuwa vizuri zaidi:
Town/mjini, rau, kcmc hadi kule ushirika wa neema....
Au kama kuna mtu mwenye kufahamu kama kuna nyumba za shirika la nyumba la taifa, NHC...