chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu Anasbo na shimba ya buyenze wazee wa makebo makubwa wamepotelea wapi😁

    anasbo na Shimba ya Buyenze natumaini mko poa na salama. ule uzi pendwa sasa hivi mwenye kiti ni Swahili AI, amewakaimu kwa muda😁
  2. JamiiForums Tanzania Dalali hakumtonya mzee wangu kuwa mtu anayetaka chumba ni shoga

    Habari zenu wakuu.. Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana mpangaji ambaye amekuwa akilipa kodi yake kwa wakati. Tatizo ni kwamba nimepata taarifa zinazodai kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  4. JamiiForums Tanzania Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  5. JamiiForums Tanzania Chumba cha kuivishia matunda (Ripening chamber)

    Ndizi mbivu za Dar huivishwa kwa kuwekwa katika chumba maalumu cha kuivishia kwa lugha ya kimombo "Ripening chamber". Wakiongezea na kichochezi cha "Ethylene" vinavyowezesha matunda kuiva kwa wakati mmoja bila kuharibika. Kwa Tanzania wapi ninaweza kupata mtaalamu wa kudesign hizo chamber...
  6. JamiiForums Tanzania Chumba Masta na Sebule ipo Dar, Mbezi Beach

    CHUMBA MASTA NA SEBULE Location - Mbezibeach, Umbali wa Kutembea Kodi - Tshs 170,000/= Umeme wake, ndani ya fensi, Maji ndani. Piga - 0716442950
  7. JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Wauguzi chumba cha upasuaji MOI wakumbushwa misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa

    Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi vinavyotumika katika matibabu ya mivunjiko ya mifupa, ikiwa ni sehemu ya programu endelevu inayodhaminiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka. Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kuchoma moto chumba na kusababisha kifo cha mabinti wawili kisa aliachwa na mmoja wapo

    Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia Filbert Philimon (23), mwanachuo wa Chuo Kikuu cha St. John's kwa tuhuma za kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu wawili, Rebecca James na Felister Peter katika Mtaa wa Kikuyu, Juni 7, 2026. Polisi wamesema mtuhumiwa alikamatwa katika...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mwenge mpaka Mbezi Africana

    Wakuu, natafuta nyumba ya kupanga self-contained kiwe chumba kimoja na sebule. Maeneo ya Mbezi Africana kurudi mpaka Mwenge na Kawe. Isiwe mbali na barabara kuu. Meter ya maji na Luku ya umeme kujitegemea. Itapendeza ikiwa ndani ya geti na yenye sehemu ya kuegesha magari ndani. Budget...
  13. JamiiForums Tanzania Apartment simple, Chumba na Sebule

    Habari JF. Hii hàpa sadakalawe "free hand" kutoka kwa fundi maiko kajumba cha kupangisha, sketch simple ya chumba, sebule na kajiko kadogo, Nyumba ni TWO in ONE. Choo ni public kwa matumizi yako, familia yako, na wageni wako. MATERIALS yote ya kusimamisha boma ni 5.5M (SI ZAIDI), kabla ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  15. JamiiForums Tanzania Chumba Masta na Sebule in Mbezibeach

    Chumba choo ndani na Sebule, Umbali wa Kutembea, Kodi 150,000 Kwa Mwezi,
  16. JamiiForums Tanzania Je una chumba, apartment au nyumba inayofaa kwa ajili ya Airbnb? Njoo tushirikiane

    Moja kwa moja kwenye mada. Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb? Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uamuzi sahihi ni kuchukua vitu vyako uwaachie chumba ukapange kwengine?

    Umetulia zako ulikopanga, rafiki yako wa kijijini kuna siku anakucheki "mkuu naombaa nije kutulia kwako kama wiki moja kuna mchongo nasubiria." Kwa heshima na support unamwambia "haina noma" Kapiga mishe zake karibia mwezi lakini mambo hayakai sawa, unakuwa muelewa hakuna njia iliyonyooka...
  18. JamiiForums Tanzania Ushawahi kua ushajenga tayari unakaa kwako halafu mtaani una chumba umepanga unalipia kodi?

    Nataka nifanye hii kitu, nina mambo binafsi nataka chumba mtaani niweke dogodogo huko niwe napita kama nyumba ndogo siku mojamoja (NINA SABABU ZANGU ZA MSINGI NISINGEPENDA KUZIWEKA WAZI). Hapa nataka tuu mtu ambae ashawahi kufanya hivi anipe experience yake.
  19. JamiiForums Tanzania Mhanga wa Oktoba 2025: Nilitelekezwa kwenye chumba chenye maiti 20 huku nikishuhudia wengine wakipoteza maisha

    Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo. Wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Usifanye sehemu ya biashara yako kuwa kama chumba chako

    Kuvua viatu ILI unihudumie hiyo haipo na siwezi kununua au kwenda maeneo yenye sheria HIZO HATA kama Nina viatu vya kupachika.. Naingia pokea PESA yangu utafanya usafi hutaki subiri jamaa ZAKO iwe biashara ndogo au KUBWA jifunze biashara sio maghetoni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…