chuki

This is a list of characters from the Pixar franchise Cars, as well as the Disney franchise Planes, which is set in the same fictional universe:

the 2006 film Cars
the 2011 film Cars 2
the 2017 film Cars 3
the 2013 film Planes
the 2014 film Planes: Fire & Rescue

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Katuga, kwanini unakuwa na chuki binafsi na Lissu?

    Pamoja na kutumwa, ni dhahiri unaonesha chuki binafsi na Lissu! Kwanini unakuwa hivyo? Alikukosea nini? Kuna siku ya Mungu utajibu mbele yake na hao wanaokutuma hawatakuwepo.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    GT Hiki ndo kirusi kikuu kinacholitafuna taifa na pengine kuzidi kurudi nyuma tena nyuma zaidi. Hatutaendelea kamwe na tutazidi kuchukiana milele ajenda kuu ya wanasiasa wetu ni wizi ila wanatuchonganisha kwa makusudi. Akili za hawa waumini wetu wanazijua wao wenyewe bahati mbaya hata watawala...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Makwiro: Wanaopinga uchaguzi wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa

    Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
  5. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rostam ni sababu ya asili yake, Watanzania ni wabaguzi kiasili na kujificha kinafiki

    Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma! Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  8. JamiiForums Tanzania Halafu tukisema Wakenya akina Tresor Mandala hamna Akili mnatuona Watanzania kama vile tuna Chuki nanyi

    liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe. Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Wengi humu ni wanasiasa wa majitaka na chuki kwa watu kama Babalevo

    WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa. Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  11. W

    JamiiForums Tanzania TCRA: Ukipokea Ujumbe wenye Chuki "Futa Delete Kabisa"

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kampeni ya kitaifa ya Futa Delete Kabisa inaendelea kusisitiza endapo utapokea ujumbe wenye matusi, uongo au unaoeneza chuki na kuvunja amani katika jamii basi futa na delete kabisa ujumbe huo. Aidha, inasisitiza kujenga tabia ya kuhakiki taarifa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

    Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako. Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe. Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama...
  14. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na chuki dhidi ya Rais Samia na wazanzibar

    Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja. Mbaya zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Nini sababu ya CCM kumkata Furaha Dominic aliyeongoza kura za maoni Kawe 2020? Ni chuki na Magufuli?

    Kwanini huyu kijana machachari amekatwa jina wakati alishinda kura za maoni 2020 kuashiria kukubalika kwake na wananchi na wana CCM. Kijana huyu ambaye ni mpwa wa Magufuli, Magufuli alimuacha ili apate uzoefu kwenye siasa, sasa uzoefu keshaupata Samia anamkata
  16. JamiiForums Tanzania Mwabukusi: kukosoa si chuki, kutokubaliana na mfumo sio uasi siwezi na sitokubali kuendeshwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa yanaruhusu uchaguzi huru na wa haki. Ameandika kwenye ukurasa wake wa X kuwa hatakiwi kuwa mtumwa wa kila...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Jawadu: Polepole na Gwajima wana chuki na ubinafsi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM) ,Askofu Josephat Gwajima, na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, hazina...
  18. JamiiForums Tanzania Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

    Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
  19. JamiiForums Tanzania Awamu Hii imetengeneza Chuki iliyozaa Kisasi ambayo Sijui ni nani atarejesha Umoja Kwa Watanzania !!

    Fikiria Familia za Akina Soka ,Mdude , Sativa Fikiria Familia za Mzee Kibao alouliwa na kutobolewa macho Fikiria Mgombea Uenyekiti CHADEMA alipigwa Risasi na Kufa papopapo mbele ya familia ake. Fikiria Shambulio la mauaji lilofeli dhidi ya Padre KITIMA. Fikiria LISSU kufunguliwa kesi ya...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ulijisikiaje ukisemwa na watu kwa maneno ya uzushi / uongo / husda / chuki, na watu...mpaka ukijitazama kwenye kioo unasema sio wewe?

    Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi. NAFSI inajiuliza . "Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…