Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli...