choo

Shin-Soo Choo (Hangul: 추신수; Hanja: 秋信守; Korean pronunciation: [tɕʰu.ɕin.su]; born July 13, 1982) is a South Korean professional baseball outfielder and designated hitter for the SSG Landers of the KBO League. He has played in Major League Baseball (MLB) for the Seattle Mariners, Cleveland Indians, Cincinnati Reds, and Texas Rangers.
Choo was selected as the Most Valuable Player (MVP) and Best Pitcher of the WBSC U-18 Baseball World Cup as South Korea won the event. Choo signed a $1.35 million contract with the Mariners after the championship and converted to the outfield.
In 2018, Choo earned a selection to his first career Major League Baseball All-Star Game. During that season, he safely reached base in 52 consecutive games, the longest such single-season streak in Texas Rangers history. As of 2018, he led all active major league ballplayers in career hit by pitch, with 132.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uwanja wa mpira Babati (Kwara Stadium) hauna choo

    Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo. Biashara mbali mbali zinafanyika katika eneo hili zikiwemo za vyakula, bar, butchers, saloon nk nk lakini ukitaka kukojoa unaambiwa ni hapo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  4. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzibua choo naipataje wakuu

  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuzibua shimo la choo

    Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje Mfano hapo chini.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

    Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri. Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
  7. JamiiForums Tanzania Katavi: Wanafunzi wazibua choo kwa mikono, Wazazi wamjia juu Mwalimu

    Wazazi wenye Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kaliwaoa iliyoko Kata ya Ilembo, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamechukizwa na kitendo cha mwalimu ajulikanaye kwa jina la Ndikulio Matenga shuleni hapo kutoa adhabu kwa Wanafunzi wakiume wa Kidato cha Kwanza kuzibua choo kwa kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Kulipia huduma ya Choo sehemu za umma (sokoni na stendi)

    Habrini wana JF, Mimi leo langu ni swala zima la watu (haswa sisi watanzania) kulipia huduma ya kujisaidia sehemu mbalimbali kama stendi na sikoni. Najuwa baadhi yeta tunaweza sema oooh kunahitajika usafi, sawa, mbona kwenye viwanja vya ndege kuna vyoo na vipo safi muda wote? Pia hata nchi za...
  9. JamiiForums Tanzania Choo kigumu (kama jiwe)

    Kunywa maji wewe
  10. JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  12. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

    Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama. Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Choo cha MV KOME II ni hatari kwa afya na usalama wa Watumiaji

    Kivuko cha MV KOME II kinachofanya safari zake kati ya Nyakarilo na Kome Kisiwani katika Halmashauri ya Buchosa, Wilayani Sengerema naweza kusema kinawafanyia ukatili abiria wanao tumia usafiri huo. Kivuko hicho kwa sasa hakina huduma bora ya choo kwani choo kilichopo ni kibovu kimejaa matobo...
  14. JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu. Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutopata choo

    Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana. Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯% bila kutumia dawa Nilishangaa Sana Ila nikagundua ni lifestyle ninayoishi Mimi na ya pale nyumbn ni...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya vyoo kwenye shule anayosoma mtoto wako ikoje?

    Wakuu kwema? Katika mambo ambayo wazazi huzingatia kuuliza yakoje shuleni, vyoo huwa havimo na kama kuna wazazi wanauliza basi ni 1%. Katika sehemu zinazoongoza kwa uchafu katika mazingira ya shuleni vyoo ni namba moja ikifuatiwa na canteen. Jamani kuna baadhiya shule vyoo ni vichafu na...
  17. JamiiForums Tanzania Uvutaji wa Sigara husaidia kulainisha choo kwa wenye tatizo la kupata choo kigumu

    Hii bhana huwa inasaidia sana baada ya kula au kushiba sanaa ukitumia sigara basi muda huo huo utaanza kuhitaji kutumia maliato kwa haraka sanaa. Nani mwingine amegundua hili
  18. JamiiForums Tanzania Huduma ya choo ndani ya Mabasi ya masafa marefu iwekwe kwenye Mabasi ya madaraja yote

    Salaam ndugu zangu, Kuwapo kwa choo kwenye basi lolote la masafa marefu ni muhimu na ni huduma inahitajiwa na abiria wote. Kitu cha kushangaza huduma hii ya lazima imetengwa na kuwekwa kwa mabasi ya Luxuary pekee. Huduma ya choo ni muhimu kama ilivyo huduma nyingine, kwa jinsi binadamu alivyo...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu tatizo la kutopata mkojo na choo husababishwa na nini?

    Kaka yangu jirani amepoteza Maisha Leo kwasababu ya tatizo hili Alifunga kupata mkojo Alifunga kupata choo kubwa Tatizo hili husababishwa na Nini ?? Tumepoteza kijana mdogo Sana
  20. JamiiForums Tanzania SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza .... Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…