Tatizo la kutopata choo

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana.

Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯% bila kutumia dawa

Nilishangaa Sana Ila nikagundua ni lifestyle ninayoishi Mimi na ya pale nyumbn ni tofauti

Nilipokua NYUMBANI nilikua nakula kutwa Mara 3 Hadi mara 4.

Nilikua nakunywa maziwa Lita 1 Hadi Lita 1.5 kilasiku

Mboga za majani nyingi,matunda hasa maparachichi nilikua nakula kilasiku.

Mihogo ya kuchemsha+magimbi,ugali ni Dona n.k

Kwahyo naweza pata choo Hadi Mara 2

Nikagundua kuwa kumbe Mimi siyo mgonjwa Ila ni Maisha ninayoishi kule kwangu....

Sasa nimelud huku kwangu mkoa mwingine

Mimi kwakuwa niko pekeangu nasikia uvivu kula hivyo kwa siku nakula maramoja tu.

Sili tena matunda, siñywi Tena maziwa hata mboga za majani napata kwa taabu Sasa Ile Hali imelud ya kutopata choo

Siwezi kuishi Maisha niliyokua nayaishi nyumbani kwasababu ni gharama kule nyumbn nilivipata hivi vyote freeee kwasababu vipo

Huku kwangu natakiwa kutumia pesa kuvipata, Sasa huu uwezo wa kuishi hayo Maisha Sina

Nisaidieni wataalamu nifanyeje
 
Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl
Nimeteseka sana.

Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯% bila kutumia dawa

Nilishangaa Sana Ila nikagundua ni lifestyle ninayoishi Mimi na ya pale nyumbn ni tofauti

Nilipokua NYUMBANI nilikua nakula kutwa Mara 3 Hadi mara 4.

Nilikua nakunywa maziwa Lita 1 Hadi Lita 1.5 kilasiku

Mboga za majani nyingi,matunda hasa maparachichi nilikua nakula kilasiku.

Mihogo ya kuchemsha+magimbi,ugali ni Dona n.k

Kwahyo naweza pata choo Hadi Mara 2

Nikagundua kuwa kumbe Mimi siyo mgonjwa Ila ni Maisha ninayoishi kule kwangu....

Sasa nimelud huku kwangu mkoa mwingine

Mimi kwakuwa niko pekeangu nasikia uvivu kula hivyo kwa siku nakula maramoja tu.

Sili tena matunda, siñywi Tena maziwa hata mboga za majani napata kwa taabu Sasa Ile Hali imelud ya kutopata choo

Siwezi kuishi Maisha niliyokua nayaishi nyumbani kwasababu ni gharama kule nyumbn nilivipata hivi vyote freeee kwasababu vipo

Huku kwangu natakiwa kutumia pesa kuvipata,Sasa huu uwezo wa kuishi hayo Maisha Sina

Nisaidieni wataalamu nifanyeje
Sasa nimelud huku kwangu mkoa mwingine

Mimi kwakuwa niko pekeangu nasikia uvivu kula hivyo kwa siku nakula maramoja tu.

Sili tena matunda, siñywi Tena maziwa hata mboga za majani napata kwa taabu Sasa Ile Hali imerudi ya kutopata choo

Back
Top Bottom