choo

Shin-Soo Choo (Hangul: 추신수; Hanja: 秋信守; Korean pronunciation: [tɕʰu.ɕin.su]; born July 13, 1982) is a South Korean professional baseball outfielder and designated hitter for the SSG Landers of the KBO League. He has played in Major League Baseball (MLB) for the Seattle Mariners, Cleveland Indians, Cincinnati Reds, and Texas Rangers.
Choo was selected as the Most Valuable Player (MVP) and Best Pitcher of the WBSC U-18 Baseball World Cup as South Korea won the event. Choo signed a $1.35 million contract with the Mariners after the championship and converted to the outfield.
In 2018, Choo earned a selection to his first career Major League Baseball All-Star Game. During that season, he safely reached base in 52 consecutive games, the longest such single-season streak in Texas Rangers history. As of 2018, he led all active major league ballplayers in career hit by pitch, with 132.

View More On Wikipedia.org
  1. Brojust

    Biashara ya choo baada ya kustaafu utumishi wa umma

    Wadau salama, CCM hoyee. Huwa nina tabia ya kupiga story na wazee watu wazima kidogo. Sasa kuna huyu amebakiza kama miezi sita ya kustaafu kazi ya utumishi wa umma. Anaitwa mzee Shayo, anasema yeye anataka hela yake akishastaafu ajenge at least matundu 30 ya vyoo hapa mjini sehemu tofauti...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Hivi unajisikiaje unapotumia choo cha kukalia?

    Heshima yenu wakuu! Kwanza kabisa nipo Tayari kuambiwa Mimi ni mshamba Nisawa kabisa. Lakini sijawahi vutiwa Wala kufurahishwa na matumizi ya choo Cha kukaa. Huenda kuishi kwangu Kwa zaidi ya miaka 20 bila kutumia choo Cha namna hii huenda ndio sababu kuu ya kunifanya Mimi nisipende matumizi...
  3. Waufukweni

    Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  4. M

    KERO Choo cha Wanawake Kivukoni Magogoni usalama ni mdogo wakati wa usiku pia hakuna privacy

    Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa mchana abiria wanapokuwa hapo wakisubiri usafiri, watu wanakaa hadi karibu na mlango wa kuingia...
  5. D

    SLAB ya shimo la choo

    Habari members, Naomba kufahamu kias Cha material ya kufunika choo (slab),. Nilishachimba SHIMO la square Kwa vipimo vya futi 5 Kwa 5 na kimo ni futi 12. Hapa naomba kujua nondo ni ngapi, kokoto ndoo ndogo ngapi, na siment mifuko mingapi? Na kama kunachochote kinahtajika naomba nifahamu ...
  6. Damaso

    Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. https://youtu.be/u-0S0jmUsuQ?si=lWVDbgKVZmI5KlP6...
  7. akatiwanya

    Dada zetu acheni kugeuza chumba cha kulala kuwa choo

    Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa...
  8. Y

    Room Moja na choo

    Habari Wana Jf Mimi nikijana wa miaka 22 nipo Arusha nimepambana na mtaa nikanunua kiwanja Sasa bado napambana ili niwekee room Moja na choo chandani naombeni mchanganuo wa material na bei. mpaka ikamilike bati nilakujificha (hidden roof) ukubwa ni 5m kwa 5m Natanguliza shukran zangu
  9. M

    Gari dar-bukoba choo ndani

    Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
  10. John kirua

    Msaada: ramani ya chumba choo na jiko la kupikia...

    Habari ndg zangu naomba msaada wa kupata ramani ya chumba 1 choo na sehemu ya jikoni tafadhali
  11. Vincenzo Jr

    KERO Responded Hospitali ya Serikali kwanini inakuwa na huduma ya choo ya kulipia?

    Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia. Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana. Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji. Kusoma majibu ya hospitali...
  12. stabilityman

    Karibu tukujengee Mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa

    Tupigie 0743 257 669 waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe ✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA 📍HAVIJAI KABISA 📍HAVITOI HARUFU 📍HUCHUKUA ENEO NDOGO 📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA 📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE ✍️Kwa mfumo wa shimo...
  13. Arsenal Gunner

    Kiwanja hatua 15x15 kinatosha nyumba ya vyumba vitatu na sebule na choo?

    Habari za jioni ndugu zangu, Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
  14. B

    Gharama za kufanya repair ya Bafu na Choo

    Habari wakuu Nina mpango wa kufanya maboresho nyumbani na kwa kuanzia ninatamani kurekebisha choo na bafu, kuna tiles tayari ila style ya kizamani inaishia nusu ukuta so kwa sasa nataka kuweka full, pia bafu haikuwa na slope nzuri so maji hutuama fulani hivi. Naombeni ushauri kuhusu makadirio...
  15. F

    DOKEZO Uwanja wa mpira Babati (Kwara Stadium) hauna choo

    Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo. Biashara mbali mbali zinafanyika katika eneo hili zikiwemo za vyakula, bar, butchers, saloon nk nk lakini ukitaka kukojoa unaambiwa ni hapo...
  16. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  17. M

    Huduma ya Choo Ferry upande wa Kigamboni malipo bila risiti

    Risiti zikoje
  18. Njugu mawe

    Dawa ya kuzibua choo naipataje wakuu

  19. Njugu mawe

    Msaada wa dawa ya kuzibua shimo la choo

    Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje Mfano hapo chini.
  20. Ballack-13

    Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

    Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri. Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Back
Top Bottom