choo

Shin-Soo Choo (Hangul: 추신수; Hanja: 秋信守; Korean pronunciation: [tɕʰu.ɕin.su]; born July 13, 1982) is a South Korean professional baseball outfielder and designated hitter for the SSG Landers of the KBO League. He has played in Major League Baseball (MLB) for the Seattle Mariners, Cleveland Indians, Cincinnati Reds, and Texas Rangers.
Choo was selected as the Most Valuable Player (MVP) and Best Pitcher of the WBSC U-18 Baseball World Cup as South Korea won the event. Choo signed a $1.35 million contract with the Mariners after the championship and converted to the outfield.
In 2018, Choo earned a selection to his first career Major League Baseball All-Star Game. During that season, he safely reached base in 52 consecutive games, the longest such single-season streak in Texas Rangers history. As of 2018, he led all active major league ballplayers in career hit by pitch, with 132.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Kenya Tuko Serious? Mtoto Anashare Choo na 99 Wengine Hadi NGO Iingilie

    Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa… Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements. Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School. Lakini sasa sikia hii ➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
  2. Pdidy

    Hatimae choo cha Mbezi Stand kimeanza kujengwa

    THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII GODBLESS YOU ALL GODBLESS YOUNG AFRICANS SC TUKUTANE JION PALE CHINI
  3. ADESIGN

    Chumba kimoja , sebule na choo ndani kipo, maeneo kinyerezi mbuyuni

    Piga 0684101707 kwa mwenye uhitaji... ( mwenye nyumba )
  4. aise

    Ramani ya Nyumba ya Kisasa: Vyumba 2, Jiko, Sebule na Choo cha Public pamoja na gharama

    Habari wakuu, nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master) Sebule, Jiko, Na choo Cha public. Ni ramani simple lakini ya Kisasa. Ramani hii itachukua Tofali 1,600 Saruji 30 Nondo 20 Mchanga mende 1 Kokoto gari 1 n.k n.k Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10. Karibu...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Misaada ya kidhalilishaji kama ya kujenga choo nitaipiga marufuku

    Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo lililotushinda kama nchi NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTAPIGA MARUFUKU MIKATABA YA KIDHALALISHAJI KAMA...
  6. Kicheche mkali

    Tunachimba mashimo ya choo ya kisasa

    🔨 Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? ✅ Mashimo ya choo ✅ Septic tank ✅ Plasta na skimming ✅ Ujenzi wa nyumba zote za kisasa 🌟 Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam – Temeke 📞 Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562
  7. Kicheche mkali

    MASHIMO YA CHOO YA KISASA

    📢 TANGAZO LA UJENZI 🏠🧱 🔨 Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa? ✅ Mashimo ya choo ✅ Septic tank ✅ Plasta na skimming ✅ Ujenzi wa nyumba zote za kisasa 🌟 Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei rafiki! 📍 Tunapatikana Dar es Salaam – Temeke 📞 Piga/Sms/WhatsApp: 0789 005 562 / 0719 205 562...
  8. Mkalukungone Mwamba

    RC Arusha Apiga Marufuku Ada ya Matumizi ya Vyoo Hospitali ya Mount Meru

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia malalamiko ya wananchi kwamba wamekuwa wakitozwa shilingi 200 kwa kila matumizi. Akizungumza Agosti...
  9. Kicheche mkali

    Mashimo Ya Choo Ya Kisasa

    🔨 UNAHITAJI FUNDI UJENZI? ✅ Mashimo ya kisasa ya choo na septic tank ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu na kazi safi ✅ Tunapatikana Temeke, Dar es Salaam 📞 Mawasiliano: 📱 0789 005 562 (Voda) 📱 0719 205 562 (Tigo) 📍 Kelvin Hk – Fundi mwenye uzoefu #UjenziBora #FundiDar #SepticTank
  10. Kicheche mkali

    Mashimo Ya Choo ya Kisasa!

    🔨 UNAHITAJI FUNDI UJENZI? ✅ Mashimo ya kisasa ya choo na septic tank ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu na kazi safi ✅ Tunapatikana Temeke, Dar es Salaam 📞 Mawasiliano: 📱 0789 005 562 (Airtel) 📱 0719 205 562 (Tigo) 📍 Kelvin Hk – Fundi mwenye uzoefu #UjenziBora #FundiDar #SepticTank
  11. kimara Kimara

    Nipeni ushauri kabla sijachimba shimo la choo la kisasa?

    Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo. Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida. Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya...
  12. walitola

    Mtoto wa miezi minne kukosa choo

    Habari za muda huu wakuu! Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki...
  13. elite wastes

    mifumo ya choo ya kisasa

    matumizi makubwa hayapaswi kuwa kati ya hofu zako taasisi zinaamini suluhisho la majitaka ni Elite Wastes ukiwa na Elite Wastes, utaepuka matatizo ya kunyonya majitaka, harufu mbaya na hutokuwa na hofu juu ya matumizi ya maji nyumbani Karibu Sana Elite wastes upate mfumo ulio bora, piga simu...
  14. yello masai

    Tatizo la kutopata Choo

    Habar wakuu, Nimekuwa na tatizo la kutopata choo. Nilikaa kama wiki sijapata choo nikaamua kutumia dawa za "Bisacodyl", zilisaidia nikaharisha sana. Lakini tangu hapo zimepita wiki mbili sijapata choo tena, ikitokea napata kidogo saana kama punje alaf kigumu sana japo nakula chakula kama kawaida...
  15. R

    Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  16. B

    KERO Arusha-Arumeru: Choo kinajengwa karibu na bucha la nyama

    Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu nyingne tofaut na sehemu ya butcher Tena sehemu ambayo biashara ya mnada hufanyika. Wahusika...
  17. ELI COHEN

    Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

    Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
  18. Maganjila tz

    Najenga mashimo ya choo ya kisasa yasio jaa walakutoa halufu kali Pia tunatoa ushaui

  19. elite wastes

    Kataa mashimo ya zamani ya choo

    Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌ Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
  20. I

    Ujenzi chumba sebule Jiko na choo

    Habari wapendwa Samahani, naombeni makadirio ya ujenzi wa chumba sebule Jiko dogo pamoja na public toilet Vyote ni vyumba standard, Nitashukuru sana
Back
Top Bottom