SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo.
Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya.
NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameuonya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) dhidi ya kukubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache.
Chongolo alitoa onyo hilo lipohutubia wajumbe wa Baraza KUu la umoja huo, akisema CCM inategemea vijana hao kutumia...
"....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi."
"....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma.
Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo.
Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.
====
Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema.
Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma.
Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE.
mfano ni ziara yake kule Iringa hakika unaweza kutamani uendelee kuwashuhudia viongozi wachache majasiri wa aina yake waliobaki hapa nchini...
ZIARA YA CHONGOLO YAMPA NYUMBA BALOZI WA NYUMBA 10
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya makazi ya Mwenyekiti wa shina (Balozi) namba saba katika Kijiji cha Ilambilole Kata ya Kising'a iliyopo Jimbo la Isimani katika...
- AMESAJILI ENEO LA CHAMA KWA JINA LAKE
Mheshimiwa Katibu Mkuu wetu mpendwa Daniel Chongolo, sisi wanachama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Wazo tunaomba uunde timu maalumu ya kuchunguza ubadhilifu mkubwa au matumizi mabaya ya madaraka ‘Ufisadi’ unaofanywa na Katibu wetu wa CCM Kata ya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023. Chongolo aliambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa Oganaizesheni...
Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri.
Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe.
Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema baadhi ya watu wanapiga kelele kuwa Tanzania inakopa na akasema katika nchi za Jumuiya...
Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria.
CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha.
CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu.
Acha vijana wabeti
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa.
Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali.
Tufike mahali viongozi wa...
Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala.
Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin...
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi.
Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na...
Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma.
Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.