Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa.
Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa "Chombo cha moto kutembea taratibu bila sababu za msingi ni kosa kwa muujibu wa sheria (kifungu namba 67) katika sheria ya usalama barabarani" amesema Sgt. Petro Philimon kutoka Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama...
Umestruggle kulima mpunga Igurusi Mungu kakubariki umevuna umepata visenti vyako ukaona ununue zako gari la kurahisisha harakati zako unaweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kwenye ukoo wa Mwakalinga kumiliki gari
Struggle zinaanza kimsingi utajifunza mengi but in hardway bahati mbaya upate fundi...
Nakumbuka kulikuwa kuna watoto wasumbufu sana huo mtaa,kila ukiwazuia wasifanye hiki wao wanafanya yaan hata ukiwafukuza wanarudi
Sasa kuna wakati walidandia gari kwa nyuma wakati na ondoka,nikawa nimepatwa hasira kutokana na kufanya jitihada kubwa sana za kuwazuia lakin hawasikii,sasa...
Inakuwaje kwa mfano ukinunua chombo cha moto ambacho kinasoma jina LA mtu mwingine na Lina deni unatakiwa kufanya Nini ili kuepukana na changamoto hiii...
Na chombo tayari umeshanunua?
Tumeambiwa kuwa Daraja limegharimu fedha nyingi takriban 716 billioni. Hizi ni fedha nyingi hivyo basi zinatakiwa zirudi polepole.
Ninapendekeza kuwa kuwe na tozo kwa kila chombo cha moto kitakachopita juu ya daraja la Dkt. Magufuli kama ilivyo daraja la Kigamboni.
Nawasilisha.
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank
Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji.
3.Kiapo cha Umiliki.
4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya...

2. Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji.
3. Kiapo cha Umiliki.
4. Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala...
Wakuu nataka niwekeze humu kwene piki piki.
Nahitaj kumiliki vyombo vya moto kwa kuanza na pikipiki moja.
Nataka nipate mkataba ambao utaniwea rahisi na unaombana mwendeshaji kuweka nidham ya chombo changu pia kumfanya asilete masihara!
Karibuni wamiliki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.