Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi
Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura.
Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura.
Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
BIla shaka wote mko vyema
Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana.
Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida
Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane.
Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer.
Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024
Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi.
Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama yake kwani anaumwa, nilimpigia simu mama yake na akaniambia kuwa hali yake si nzuri. Nilimruhusu...
Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo.
Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu.
Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba.
UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo.
Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine.
Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael.
Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto...
Ethiopia
Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.
Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
Habari wakuu,
Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi).
Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu.
Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment...
Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
Habari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama (mababu na mabibi wote waliokufa)
Mizimu ipo mizuri na mizimu mibaya
Kuna aina zaidi ya >200 za...
WAZUSHI WAKIKOSA UBAYA WAKO BASI WATAZUSHA, NI FURAHA YAO KUONGELEA MABAYA TU YA WATU 😔
Kama wewe ni yule ambaye unataka kujibu kila mtu basi jua utajichelewesha .
Kama wewe ni yule ambaye ukisikia ulivyosema kipindi haupo basi unakorofishana na uliowaacha basi jua unajichelewesha.
Kama wewe...