chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israel walikua nje ya Ardhi yao Kwa miaka 1878 , wakarudi mwaka 1948 Kwa azimio la UN, maajabu ni kua hawakupoteza chochote kuwahusu wao !!.

    Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi . Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
  2. JamiiForums Tanzania Angélique Kidjo: Kama hupigi kura, chochote kinachoathiri maisha yako kinakutokea kwasababu hukushiriki katika kufanya maamuzi

    "Ikiwa tunataka kuishi katika jamii inayojiita ya watu waliostaarabika, kupiga kura ni mojawapo ya mambo muhimu. Kuna sehemu duniani ambapo watu hawajawahi kupiga kura—kamwe. Hata hawajui maana yake... Na hakuna kitu muhimu zaidi ya kuwapa watu uhuru wa kuchagua wanaotaka kumpigia kura na...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta: Nimeona watu wanalia lia baada ya Trump kusitisha misaada. Mnalia nini na hela sio zenu?

    Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya viongozi wa Afrika dhidi ya kutegemea sana misaada ya kigeni kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha msaada wa shirikisho duniani kote. Akizungumza wakati wa Mkutano wa Usalama wa Afya wa Kanda ya Afrika Mashariki 2025...
  4. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

    Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani. Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu atasema chochote malengo yake yatimie.

    Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa. Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko. Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti...
  6. JamiiForums Tanzania Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

    Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church. Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake. King Henrry nae wakati anaasisi...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi fanikiwa kwa chochote bila maombi tena usiku wa manane

    Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu. Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana. Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe. Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee Moshi Hawataki kabisa kusikia chochote juu ya Mbowe

    Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !! Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
  10. JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna kitu cha bure chochote utakacho itaji lazima ukitolee kitu

    Vya Bure Duniani Hakuna. Lazima utalipa/ Unalipa iwe DIRECT PAYMENT/ IN DIRECT PAYMENT
  11. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  13. JamiiForums Tanzania Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu

    Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo Lakini...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Aishi Manula: Siumwi chochote, ila wao ndio wanajua nini kinaendelea

    Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One "Siumwi chochote, ila wao...
  15. JamiiForums Tanzania KERO Mbeya jiji: Kuna Watu wanaotishia waendesha bajaji, hawafanywi chochote na yeyote eneo la geti la Pili kwenye bandari kavu

    Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji zisiende uelekeo wa Mbalizi. Cha kushangaza, hata kama umekodi bajaji hawa watu hawataki hilo...
  16. JamiiForums Tanzania Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

    Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
  18. JamiiForums Tanzania Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…