chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

    Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church. Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake. King Henrry nae wakati anaasisi...
  2. Huwezi fanikiwa kwa chochote bila maombi tena usiku wa manane

    Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu. Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana. Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe. Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
  3. Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  4. Wazee Moshi Hawataki kabisa kusikia chochote juu ya Mbowe

    Nipo Moshi kwa mapumziko ya sikukuu aisee wazee wa Moshi wamegoma kabisa kumuunga mkono Mbowe Nimejaribu kuanzia home kwa majirani na kila mtu ninayepiga naye story anaonyesha kuuzunishwa na Mbowe !! Hai kipindi kile kumbe Kuna watu kibao walipoteza Mali zao sababu ya chama sasahivi...
  5. Duniani Hakuna kitu cha bure chochote utakacho itaji lazima ukitolee kitu

    Vya Bure Duniani Hakuna. Lazima utalipa/ Unalipa iwe DIRECT PAYMENT/ IN DIRECT PAYMENT
  6. G

    Umewahi kupata connection ya Ajira , Biashara, n.k. kimasihara ? aliekupa hakuhitaji chochote, mtu ambae hukumtegemea, n.k.

    katika maisha ya sasa connection ni kitu muhimu sana, lakini zimekuwa ngumu sana kupatikana ni hadi utoe kitu kidogo, uwe chawa, n.k. Je umewahi kupata connection kimasihara iwe kwa mtu ambae hukumtegemea au Bila kuombwa chochote au mazingira usiyotegemea, n.k. Nimewahi kumjua Mhitimu wa...
  7. A

    Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  8. Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA atahujumiwa sana na hatafanikiwa chochote, lakini pia akiwa mgombea urais wa CHADEMA atahujumiwa na atapata aibu

    Ukosoaji wake dhidi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA hususani kuhusu mambo ya rushwa na uchaguzi wa serikali za mitaa, ulionekana kama usaliti, hujuma, dharau na utovu wa nidhamu kwa mwenyekiti taifa wa chama hicho. Na kwahivyo sababu ya kuhujumiwa kwake msingi wake utakua ni huo Lakini...
  9. SI KWELI Aishi Manula: Siumwi chochote, ila wao ndio wanajua nini kinaendelea

    Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One "Siumwi chochote, ila wao...
  10. KERO Mbeya jiji: Kuna Watu wanaotishia waendesha bajaji, hawafanywi chochote na yeyote eneo la geti la Pili kwenye bandari kavu

    Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji zisiende uelekeo wa Mbalizi. Cha kushangaza, hata kama umekodi bajaji hawa watu hawataki hilo...
  11. Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  12. Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

    Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
  13. Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

    Habari wakuu, Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku...
  14. Jinsi ya Kupata Maarifa ya Chochote Unachotaka Kujua

    Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje kupata maarifa kwa ufanisi kuhusu jambo lolote unalotaka kujua? Hapa chini, tutaangalia njia mbalimbali...
  15. LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  16. Sasa naelewa kwa nini Democrats wanang'ang'ania kusiwepo na uhitaji wa kitambuliicho chochote kile wakati wa kupiga kura USA

    Wanauiita ni mfumo wa kibaguzi Wanataka mtu yoyote aishiye marekani aweze kupiga kura. Kwa upande mwingine watu wanaamini hii ni mbinu wanatumia ili wahamiaji waliongia marekani bila vibali vya makazi wapewe fursa ya kupiga kura. Kutokana na sera zao za open borders za term hii wamevunja...
  17. CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  18. Breakfast battle

    BIla shaka wote mko vyema Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana. Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
  19. N

    Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  20. M

    Niulize chochote kuhusiana na ugonjwa wa Homa ya Ini

    Niulize chochote kuhusu homa ya ini. Kiufupi homa ya ini ni ugonjwa unaosabishwa na virusi aina ya 'Hepatitis A, B, C, D & E). Maswali yanaweza kujikita kwenye B na C kutokana kupelekea kusababisha saratani ya ini(Hepatocellular carcinoma). Mpaka sasa 'Hep B' haina tiba kamili ya kuiondoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…