chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  2. Mad Max

    Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  3. MK254

    Mababu zetu walitumia alphabet ipi kuandika, hivi waliandika chochote kweli?

    Ukisoma historia hata ya Biblia, maelfu ya miaka huko nyuma Musa alitumia Hebrew alphabet kuandika vitabu vilivyomo kwenye Biblia, pia ukifuatilia jamii zingine kama Wahindi, Wachina n.k. Walikua na maandiko yao enzi hizo na kila moja walikua na aina fulani hivi ya kuandika, na kuna kumbukumbu...
  4. ELI COHEN

    Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  5. Bei rahisi Electronicks

    Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  6. A

    KERO Wanaochimba mchanga Bunju Dogodogo Centre wanahatarisha maisha ya nyumba zetu, NEMC hawasaidii chochote

    Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu. Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza. Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
  7. Genius Man

    Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  8. Mad Max

    Leo kati ya Liverpool, Man City au Chelsea chochote tu kitokee!

    EPL inazidi kunoga. Watetezi wa kombe wanapelekewa moto huko. Wakati City tunategemea leo kusumbuliwa na Chelsea.
  9. Kimbesa11

    Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  10. mwehu ndama

    Uzi maalumu wa kumuambia chochote Lucas mwashambwa

    Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
  11. Chakaza

    Mahojiano ya Boni Yai na Mtozi Nyanda Yamedhihirisha CHADEMA ina Akiba ya Viongozi wenye Akili Kuliko Chama Chochote

    NImefuatilia mahojiano yaliyofanyika kati ya Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai Ex Mayor ambaye ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya pwani na mtangazaji anaye kuja kasi Aloysi Nyanda aka Mtozi. Nilichogundua ni kuwa viongozi wa Chadema hata awe kwa ngazi ipi, wana uwezo mkubwa wa akili na huwa...
  12. Superbug

    Uzi wa kuhamasisha kutochangia chochote kwenye nyuzi za Lucas mwashambwa na Tlahtlaa

    Ndugu wana jf binafsi nimechoshwa na uchawa wa hayo mazimwi hapo juu nawaomba ili kutowapa airtime yoyote kama alivyoshauri comrade Mshana Jr nawaomba wakipost chochote kikaushieni msikoment Wala ku react Kwa namna yeyote ile hii itapelekea manyuzi yao kupotea na kujifia haraka na mwisho hata...
  13. ELI COHEN

    Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  14. Desierto

    Wewe so chochote kwenye hii dunia

    Kuna watu wanajiona wana umhimu sana hapa duniani lakini kumbe wao si lolote wala chochote. Afadhali kidogo miaka ya kina nyerere historia inawakumbuka Lakini ukweli ni kwamba wewe si kitu hapa duniani acha kujipa umuhimu huo huna umuhimu wowote hapa duniani Ukifa leo ni Mambo yako tu ndo...
  15. Erythrocyte

    Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

    Hi I Maana yake ni kwamba YEYOTE atakayeamua kuridhiana n.a. Shetani atakuwa anamkosea Mungu wake na kwa vile atakuwa anavunja kanuni za Mungu mwenyewe basi bila Shaka atakuwa anatenda dhambi ya hatari na. atahukumiwa haraka sana. Nimeweka Uzi huu kwa lengo la kuwakumbusha wacha Mungu wenzangu...
  16. Influenza

    RC Mtaka azijia juu Halmashauri kwa kukusanya ushuru kwa Wakulima ikiwa hazijamwezesha Mkulima kwa chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo. Akizungumza na Madiwani pamoja na Halmashauri, Mtaka alisema: “Mtu analima mpunga, anapiga maombi mvua...
  17. Genius Man

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  18. Hance Mtanashati

    Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

    Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe. Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
  19. DuaZaMama

    PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

    "Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
  20. Lord Denning

    Wenye akili tulishamjua mapema. Hajali chochote kuhusu Tanganyika na Watanganyika. Lolote baya linalotupata kwake ni furaha kuu

    Ukiangalia anavyofisadi mali za Watanganyika utaelewa tu huyu hajali chochote kuhusu Watanganyika. Yupo kujitajilisha yeye, familia yake na genge lake kwa mgongo wa fedha na rasilimali za Tanganyika. Ukiangalia namna alivyoteua Wazanzibari kushika sehemu nyeti za Tanganyika ikiwemo Wizara...
Back
Top Bottom