china

  1. JamiiForums Tanzania Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  3. L

    JamiiForums Tanzania “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa pande nyingi unaotetewa na China unahakikisha Afrika inapata haki katika sekta ya afya

    Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba China iko kinyume na mwelekeo?

    Juhudi za China ndani ya jamii ya kimataifa haziwezi kupingwa, lakini lengo la nchi za Magharibi kutaka kuongoza dunia linadai kuwa, China, kama nchi yenye ushawishi mkubwa isiyo ya magharibi, ni kitu cha kigeni. Ikiwa ni mfumo tofauti kabisa wa kisiasa, China, kuanzia karne ya 19, imekuwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kulinda na kudumisha utamaduni wake usioonekana

    Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioonekana ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, si...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi hazipaswi kuusemea vibaya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya habari

    Katika miaka ya hivi karibuni suala la ushirikiano kwenye sekta ya habari kati ya China na Afrika limekuwa likifuatiliwa na nchi za magharibi, na kuongezeka kwa uwepo wa China kwenye sekta ya habari barani Afrika kunachukuliwa kama ni uingiliaji wa China kwenye himaya ya habari ya vyombo vya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021 laleta matumaini ya kufufuka kwa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

    Mataifa ya Magharibi yamo kwenye mfumo wa ushindani na China. Changamoto za ulimwengu zinawalazimisha kuwa washirika zaidi kama Kongamano la Usalama la Munich inavyojaribu kutafuta uwiano wenye manufaa kwa pande zote. Wakati umechaguliwa vyema: Rais Joe Biden wa Marekani anaanza ziara yake...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  13. JamiiForums Tanzania WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China yalegeza sera ya uzazi wa mpango na kuruhusu wanandoa kuwa na watoto watatu

    Hivi karibuni, China ililegeza zaidi sera yake ya uzazi wa mpango, na kutangaza kuunga mkono wanandoa wanaopenda kupata mtoto wa tatu. China ni nchi inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu, lakini pia ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya wazee. Matokeo ya Sensa ya saba ya watu nchini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuhimiza ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya ufisadi

    Mwanzoni mwa mwezi huu mjumbe wa kudumu wa kamati ya kisiasa ya chama cha Kikomunisti cha China, na katibu wa kamati ya nidhamu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Zhao Leji, alitoa mwito tena wa kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, na kujenga dunia isiyo na ufisadi. Bw. Zhao...
  16. L

    JamiiForums Tanzania "Mwongozo kamili" unaotumika kuichafua China

    Baada ya vyombo vingi vya habari vya magharibi kuonesha uraibu wao wa kusambaza uvumi kuhusu China, namna wanavyotengeneza habari hizi feki imekuwa wazi, kiasi cha kuwezekana kupata “mwongozo kamili” wa kuichafua China. Hivi karibuni, jarida la The Wall Street Journal lilifichua eti “ripoti ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Harmony OS 2 yaonesha kwamba China inajitegemea katika uvumbuzi wa sayansi na teknolojia

    Hivi karibuni, kampuni ya Huawei ya China imetangaza rasmi mfumo wa simu ya kisasa Harmony OS 2 na vifaa kadhaa vinavyotumia mfumo huo. Hatua hii sio tu inamaanisha simu na vifaa vingine vinavyotumia mfumo wa Harmony OS 2 ni bidhaa rasmi inayoingia katika soko, bali pia ni alama kwamba Huawei...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yailaumu China kwa kutotoa fursa za ajira kwa Afrika? Takwimu hazidanganyi

    Hivi karibuni, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alitoa kauli inayokwenda kinyume na ukweli, akizilaumu kampuni za China kupeleka wafanyakazi wake wengi barani Afrika na kunyima fursa za ajira wanazoweza kupata wenyeji wa Afrika. Alipozungumza na wahitimu wa “Mpango wa Viongozi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…