china

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania China yaingiza vifaru mitaani kuzuia watu wasitoe pesa Bank

    Katika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha...
  4. JamiiForums Tanzania China yakemea vikali ziara ya Nancy Pelosi Taiwan

    Kumekucha. Mambo yanazidi kunoga. Msemaji wa Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Wenbin ameionya Marekani kuwa endapo Nancy Pelosi (US house speaker) atafanya ziara ya kuitembelea Taiwan, August mwaka huu, basi taifa hilo linaloaminika kuwa ndio lenye nguvu ya kiuchumi kwa sasa duniani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Mwenge la mwaka 2022 lafanyika Kunming, China

    Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na kushiriki kwenye Tamasha la Mwenge la Mashariki na watu wa makabila madogo. Tamasha la Mwenge ni tamasha...
  6. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
  7. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

    Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China. Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la makumbusho la Yuncheng linawakaribisha wanafunzi na wazazi kulitembelea. Katika majira ya joto, majumba ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yashindwa kuzishawishi nchi za Mashariki ya Kati kuipinga China

    Tangu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aanzishe mvutano na China, wakati maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wanapofanya ziara katika nchi za nje, jambo ambalo wote hawaachi kulifanya ni kuzishawishi nchi hizo kushirikiana na Marekani kuipinga China. Katika ziara yake Mashariki ya Kati...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yaziongoza nchi zenye nguvu duniani kufuatilia maendeleo ya amani ya Pembe ya Afrika

    Hivi karibuni mkutano wa kwanza wa amani wa China na Pembe ya Afrika ulifanyika Addis Ababa, Ethiopia, na kufuatiliwa na vyombo vya habari mbalimbali kote duniani, ikiwa ni pamoja na Reuters na VOA. Wakati China inaanza kutekeleza kivitendo "Dhana ya Maendeleo ya Amani katika Pembe ya Afrika"...
  12. JamiiForums Tanzania Nauli ya China - TZ ni 11M, Bei ya kwenda tu kwa ATCL

    Nauli ya kwenda Ganzhou, China imefikia Million 11 . Hiyo Ni kwenda tu. Kuhusu malazi , matumizi na nauli ya kurudia bado ni juu yako. Naona Rais amefungua nchi kwa wageni tu , Ila si kwa wa-TZ . Machinga wenzangu mtaji upo?
  13. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti za Siwei 03/04

    China imefanikiwa kurusha satelaiti mbili za Siwei 03/04 kwa kutumia roketi ya Long March 2C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Taiyuan. Satelaiti zote mbili zimeingia kwenye obiti iliyopangwa. Setilaiti hizo mbili zitatumika kwenye maeneo ya uchunguzi wa ardhi, upimaji wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania “Fanya kazi halisi ili kutangulia mbele” - Rais Xi Jinping wa China

    Xi Jinping, Mwaka 1989 alipokuwa Katibu wa Kamati ya Chama ya Eneo la Ningde la Mkoa wa Fujian alishiriki kazi kijijini. “Maneno matupu yanaleta madhara kwa taifa, juhudi halisi zinastawisha taifa.” Siku 15 tu baada ya kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, Bw. Xi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania “Kufanikisha kazi si lazima niwepo” - Rais Xi Jinping wa China

    Mei 9, 2014, Xi Jinping alipofanya ukaguzi mkoani Henan, aliangalia hali ya ukuaji wa ngano kwenye mashamba ya Zhangshi Wilaya ya Weishi Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama, Bw. Xi Jinping alipotoa hotuba mara kwa mara alisisitiza nia yake kuhusu kusukuma mbele mageuzi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
  17. L

    JamiiForums Tanzania “Wananchi ni Chanzo cha Nguvu Zetu” - Rais Xi Jinping wa China

    Rais Xi Jinping wa China Xi Jinping alipokuwa na umri wa miaka 59 aliteuliwa kuwa Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kwenye Mkutano wa Kwanza wa Wajumbe Wote wa Kamati Kuu ya 18 ya Chama hicho, na ni kiongozi mkuu wa kwanza wa China aliyezaliwa baada ya kuanzishwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Safari za ATCL kwenda China ziwe neema kwa wafanyabiashara nchini

    Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI China kuchukua Uwanja wa Ndege wa Entebbe baada ya Uganda kushindwa kulipa deni

    Mwishoni mwa mwaka 2021 kuliibuka taarifa kuwa Serikali ya Uganda imeshindwa kulipa deni kiasi cha dola milioni 207 na kusababisha kutaifishwa uwanja wake wa nddege wa Entebbe. Taarifa hizo zilizochapishwa na vyombo mbalilmbali duniani vilieleza kuwa Uwanja wa Entebe sio mali ya Uganda tena...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona wanajikomba kwa Israel

    Wana dunia, Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa Amerika wanajua juu ya taifa hili kongwe. Je kitu gani hichoo? Kwa ufupi raia wa Amerika kama watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…