china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  3. JamiiForums Tanzania China yahitimisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi. Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory. What did China say...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuzibeba nchi za Afrika na nyingine kwenye sekta ya kilimo

    Serikali ya China imetangaza hivi karibuni kuwa kuanzia mwezi Septemba mwaka huu itaondoa kabisa ushuru kwenye asilimia 98 ya bidhaa za kilimo kutoka nchi 16 zenye mapato ya chini, tisa ya nchi hizo zikiwa ni nchi za Afrika. Hatua hii ni mwendelezo wa hatua kama hiyo iliyochukuliwa kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

    Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu...... China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake washiriki katika mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba na kuanza maisha ya furaha mjini Meishan, China

    Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou. Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amwambia Antony Blinken kuwa Afrika haitaki kulazimishwa na Marekani kuzichukia Urusi na China

    Waziri wa mambo ya nje wa South Afrika kamchana Blinken kuwa South Afrika na Afrika kwa ujumla hawataki siasa za kipumb2vu za Marekani za kulazimisha kuchaguliana maadui au marafiki. Maneno hayo yamejiri baada ya Biden wa Marekani kumtuma waziri wake wa mambo ya nje Bwana Blinken aende South...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  10. JamiiForums Tanzania Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

    Ni mwendo wa kutishiana misuli na mikwara, Mchina amepiga piga mabomu kwenye bahari, ila sasa amesogezewa meli za Taiwan ole wake aguse moja, leo ndio siku ya mwisho Mchina anageuza.... ================ TAIPEI (Reuters) -Chinese and Taiwanese warships played high-seas "cat and mouse" on Sunday...
  11. JamiiForums Tanzania China tayari wamefyeka kichwa cha Mtaiwani

    A top official involved in Taiwan's missile production died of heart problems on Saturday, the army-owned institute where he worked said, as China conducts massive military drills around the self-ruled island NB: Mchina usoni ni mpole sana Ila linapokuja suala LA masilahi ya Taifa muogope sana
  12. JamiiForums Tanzania Mkono wa vita ya China na US unanukia

    Marekani imeanza mazoez ya kijeshi mpakani kwa China kwenye boda inayopitia India ,hii ni baada ya China kuanza kupeleka vifaa na zana za kijeshi mpakan mwa Taiwan.MUNGU ATUNUSURU SISI HUKU MAANA HUU MKONO UKIPIGWA DUNIA ITASIMAMA KWA MDA CNN)The United States is to take part in a joint military...
  13. JamiiForums Tanzania China yatishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira ya dunia

    China inayofahamika kuongoza kwenye uchafuzi wa mazingira duniani, imetishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya kuboresha mazingira, maana kwamba itaendelea kuchafua kabisa wa kujifia ajifie, hii ni mojawapo wa mbinu za kulipiza kisasi dhidi ya Marekani baada ya Pelosi kutua Taiwan licha ya mikwara...
  14. JamiiForums Tanzania Naionya China, isijaribu

    Hamjambo wakuu. Ndugu wana Jamii Forum baada ya kufuatilia kile kinachoendelea kutokea kule katika mpaka wa kisiwa cha Taiwan, kuhusu mzozo wa China na Taiwan. Kama ningekuwa na uwezo wa kuwasiliana na uongozi wa China, basi ushauri wangu mkubwa kwao ingekuwa ni kuwaambia wasithubutu kukivamia...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo

    SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani

    China imefanikiwa kurusha satelaiti ya usimamizi wa kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani saa tano na dakika nane jana asubuhi kwa saa za Beijing. Satelaiti hiyo itatumika kusimamia kiwango cha kaboni kwenye mfumo wa ikolojia duniani, kusimamia na kutathimini miradi ya taifa ya ikolojia, na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kipigo kimenyong'onyea: Zelensky aililia China isaidie kumaliza vita yake na Urusi

    Zile tambo za Zelensky kwamba hataki mazungumzo na Putin kwa kuwa atamshinda kwenye uwanja wa vita naona zimeishiwa pumzi. Kipigo anachokipata kila siku si cha kitoto. Bahasha ya makombora anayopewa ndani ya saa 24 hayapungui makombora 6,500!! Kwa sasa Zelensky anaibembeleza China isaidie...
  18. L

    JamiiForums Tanzania "Bustani isiyo na mbu" yafunguliwa Chengdu, China

    “Bustani isiyo na mbu”, ambayo ni ya kwanza mjini Chengdu ilifunguliwa. Bustani hiyo inatumia mitego ya mbu, kuanzia usimamizi wa maji na mimea, ili kuangamiza mbu kwenye nyasi na madimbwi.
  19. JamiiForums Tanzania China yaanza mazoezi ya kijeshi karibu na Taiwan

    China imeanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya baharini na angani kuzunguka kisiwa kinachojitawala cha Taiwan, saa chache baada ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuondoka Taipei. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti mazoezi ya kuzima moto katika maeneo sita karibu na Taiwan yalianza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la China lachangia amani na usalama barani Afrika

    Tarehe 1 Agosti ni Siku ya Kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China. Katika miaka mingi iliyopita, jeshi hilo limeshiriki katika masuala ya usalama ya Afrika kwa hatua madhubuti, na kuchangia amani na usalama barani humo. China ni nchi ya pili duniani kwa mchango wa fedha kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…