china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Safari milioni 274! Mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanaonyesha kuimarika kwa uchumi wa China

    "Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  3. JamiiForums Tanzania India yaipiku China kwa idadi ya watu

    Nchi ya India imeipiku nchi ya China kwa population. Population: 1. India [emoji1128] 1,426,409,584 2. China [emoji630] 1,425,731,257 3. USA [emoji631] 339,688,556 4. Indonesia [emoji1129] 277,148,717 5. Pakistan [emoji1191] 239,693,115 6. Nigeria [emoji1184] 222,914,017 7. Brazil...
  4. JamiiForums Tanzania Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mjema: Ziara ya Chongolo na Ujumbe wake nchini China italeta Wawekezaji na faida nyingi sana kwa Taifa

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023. Chongolo aliambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa Oganaizesheni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CCM yajifunza kusukuma maendeleo makubwa kwa wananchi kutoka China

    TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

    Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni.. My Take Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia zaidi ya gharama za Kujenga SGR. Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa? Kama Kuna ulazima wa Hilo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar. Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya China yalaumu wahitimu wa vyuo vikuu kwamba ni wavivu, wabishi, hawataki kazi ngumu

    Kutokana na kuongezeka kwa tatizo la ukosefu wa ajira, Serikali ya China imewaangushia wahitimu wa vyuo vikuu zigo la lawama kwamba ni wavivu, wabishi na hawataki kazi ngumu za shambani. Hii ni kutokana na kwamba wahitimu wengi hawataki kurudi makwao vijijini kwa wazazi wako wakashiriki kazi za...
  10. JamiiForums Tanzania Urusi inazidi kutengwa, Zelensky na rais wa China wafanya mazungumzo marefu

    China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Pre Order Mzigo kutoka Kiwandani China

    Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani 0713310711
  12. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inapaswa kujifunza mbinu za China za kutokomeza ugonjwa wa malaria

    Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inanufaika na ongezeko la watu wenye ujuzi nchini China

    Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

    A Chinese research team has successfully completed the country's first full-size superconducting test run for an ultra-high-speed magnetic levitation (maglev) train, which, once completed, will be capable of running at a whopping 1,000 kilometers per hour under ideal conditions. Developed by...
  15. JamiiForums Tanzania Air Cargo China to Tanzania

    📦✈️Habari za kazi boss Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kukumbusha kuwa tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida katika ofisi zetu China Guangzhou ratiba ya week hii ndege itaondoka China🇨🇳 kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi tarehe 27/04 mwisho wa kupokea mzigo ni Jumanne tarehe 25/04. Bei...
  16. JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa Marekani katika jambo lolote ni kushindwa kwa mwanadamu

    Hii ni Timu ya HESABU ya US iliyoishinda Timu ya China. Know what If US Get bombed today kilio kitagusa kila kabila duniani. Kuna waSukuma watapoteza wapendwa wao, Waha, Wahaya, Wakurya Etc. But Urusi ikipigwa bomu leo kilio kitabaki huko huko kwenye miji kama mtakatifu Petersburg, na...
  17. JamiiForums Tanzania China haitaki Fedha yake kuwa ya Kimataifa(?)

    Ingawa dola ndiyo sarafu kuu katika biashara ya kimataifa duniani kote, vita vya Urusi na Ukraine vinaashiria hali mpya. Hiyo ni, China na Urusi zimekuwa zikifanya kazi katika kudhoofisha utawala wa dola ya Marekani. Vikwazo dhidi ya Urusi kutoka Marekani na Umoja wa Ulaya vimekuwa na athari...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ufufukaji wa uchumi wa China kunufaisha uchumi wa dunia unaokabiliwa na changamoto

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) hivi karibuni lilitoa ripoti, likipunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa nchi kubwa kiuchumi duniani, isipokuwa China, ambayo uchumi wake unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.2 kwa mwaka huu. Kabla ya hapo, Benki ya Dunia pia ilitoa makadirio yake ya ukuaji wa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Mashariki ya Kati yakaribisha nafasi ya kiujenzi ya China

    Mkutano mwingine kati ya Saudi Arabia na Iran uliofanyika hapa Beijing umeonyesha kuwa China ni nchi inayotetea amani, na sera zake zinaendana na matakwa ya nchi za Mashariki ya Kati. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia Mfalme Faisal bin Farhan Al...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ulaya inaihitaji China kwa ajili ya soko lake kubwa pamoja na amani

    Kwa muda sasa, uhusiano kati ya China na Umoja wa Ulaya umekuwa kwenye mwelekeo wa kudorora, lakini mkwamo katika uhusiano huo ulianza kubadilika baada ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz na rais wa Baraza ka Ulaya Charles Michel kufanya ziara nchini China mwishoni mwa mwaka jana. Katika mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…