Kongamano la tatu la Amani na Usalama la China na Afrika limefanyika hivi karibuni mjini Beijing, China. Hii ni hatua muhimu kwa China na nchi za Afrika kuhimiza kwa pamoja "Pendekezo la Usalama Duniani" la China, na pia ni ushahidi mwingine kwa China kuchangia amani na usalama barani Afrika...