Xpeng Mona Mo3 ni compact electric sedan, ilioletwa kwa wapenzi wa sedan ambao hawawezi kuafford Tesla Model 3 ambayo ni mara 2 zaidi kwa bei.
Design yake imefocus zaidi kwenye aerodynamics, kwani ina drag coefficient ya 0.194 ambayo hadi sasa ndio ndogo kuzidi sedan yoyote iliowahi...
Sept 11, 2024, Baraza la Wawakilishi la bunge la Marekani liliidhinisha kiasi cha $1.6 Billion.
Bajeti hiyo ni ya miaka mitano (2023-2027) kueneza propaganda dhidi ya China sehemu mbalimbali duniani ikilenga hasa kuiharibia sifa China, ikitumia media za nje ya Marekani. Mpango huu umepewa jina...
"Maendeleo ya China katika miundombinu ni ya hali ya juu ni zaidi ya mara 100 ya Marekani."
–Elon Musk
Elon Musk aliposema hivyo hakutia chumvi ni uhalisi.
Kihistoria tangu zamani Wachina wako vizuri kwenye civil engineering. Mfano mmoja ni The Great Wall of China mradi uliojengwa miaka 2300...
Mataifa ya Uturuki na Iran yapo mbioni kutengeneza meli kubwa za kijeshi zitakazobeba droni kushambulia adui badala ya zile meli zilizozoeleka na zinazohofiwa ambazo huwa zinabeba ndege za kijeshi kama vile F-16 na F 35.
Tofauti na meli za kubebea ndege za kivita,meli hizo zao la ubunifu wa...
Katika hali inayoonekana kwamba vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani na marafiki zake dhidi ya Russia vinaanza kuitesa taifa hilo.
Benki za Urusi zimeondoa kiasi cha yuan, kwa kiasi kikubwa kwa sababu makampuni ya kifedha ya China yanazuiliwa kufanya biashara na taifa hilo...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hivi karibuni alidokeza kuwa hakubaliani na dhana ya kwamba uwekezaji wa Taifa la China barani Afrika unapelekea bara hili katika "mtego wa madeni,"
Ramaphosa alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kilele cha China na Afrika huko Beijing, ambapo wajumbe...
Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania.
The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
Japo China hana mpira mkubwa sana lakini hii iko ndani ya Kila mchina kuwa hapendi kupigwa au kupitwa na mjapani Hawa ni washindani wa kudumu
Hapa naangalia namna Japan anampiga china najua viunga vya Beijing na Hong Kong wanchina wanaugulia kwa maumivu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.
Rais Samia...
Huyu bwana(30years) alienda China mwaka 2018 kujifunza Kichina ambapo akaona Changamoto na kuigeuza fursa.
-Anamiliki kampuni ya Logistics
-Anamiliki Warehouses
-Anaishi na kuajiri Wachina anawakoromea.
My Take: Tunataka Vijana wengine wapambanaji kama Hawa
KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kashfa ya utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...
Mama alisema kila ziara zake atasafiri na wasanii na tayari alikwisha enda nao India na Korea, hivi sasa mama yuko China.
Ninaomba mwenye majina ya wasanii aliosafiri nao kwenda China anijuze, kwani ni jambo la muhimu sana kwenye ustawi wa sanaa Tanzania.
Volkswagen inafikiria iwapo itafunga viwanda nchini Ujerumani kwa mara ya kwanza katika historia yake ya miaka 87 huku ikielekea kuongeza upunguzaji wa gharama huku kukiwa na ushindani unaoongezeka kutoka kwa watengenezaji magari ya umeme nchini China.
–London (CNN)
Mapema wiki hii CNN...
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Wachina wanaofanyakazi, wanakusanya Kodi na kulinda Kodi kwa nguvu zao zote. Mhujumu ananyongwa. Je, Africa watu wao wanafanyakazi, kukusanya kodi na kulinda Kodi ya wananchi wao?
Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili.
Pia soma:
DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
China inasifika...
Tamthiliya za China zavutia watazamaji na kujizolea umaarufu katika nchi za Afrika
Tamthilia na filamu nyingi za Kichina ambazo zinatafsiriwa kwa lugha mbalimbali, zinazidi kujizolea umaarufu na kupata mashabiki wengi katika majukwaa mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa tasnia ya burudani ya...