china

  1. Expect Quality

    Nchini China na Madaktari wa roboti

    Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza kuchukua zaidi ya miaka 2 kufanikisha
  2. Yoyo Zhou

    Miaka 40 ya mageuzi ya ufunguaji mlango nchini China ni funzo kwa nchi za Afrika

    Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini. Akiongea...
  3. Yoyo Zhou

    Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  4. MK254

    China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

    Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika. Kila siku mnaimba "death to America"................ ======================== The Chinese government is taking draconian measures to...
  5. itakiamo

    Tunasafirisha mizigo mara mbili Kwa wiki kutoka China kuja Tanzania

    Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫. Wiki hii Kuna ndege🛫 itaondoka China 🇨🇳kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi ya tarehe 02 August . Tafadhali mpatie...
  6. X

    China-US (Tech War): China wabaini ndege ya jeshi la Marekani ikiangusha vifaa vya kiupelelezi katika bahari ya Kusini ya China

    Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa kuona mbali viliweza kunasa tukio hilo na kulirekodi kwenye video. Ni nini ambacho ndege hiyo ya...
  7. L

    China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  8. Pfizer

    Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji

    AWESO ATEMBELEA VIWANDA VYA KUZALISHA MITA ZA MAJI ZA MALIPO KABLA CHINA, ASEMA WAKATI WA MABADILIKO NI SASA Shangai, China Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amehitisha ratiba ya ziara ya kikazi ya kimkakati nchini China kwa kutembelea viwanda mbalimbali vya kutengeneza na kuzalisha Mita za Maji...
  9. K

    CCM msipoteze muda wa Tanzania hatuwezi kuwa kama China!

    Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha China. Yaani tunataka kufuata uratatibu wa demokrasia kama nchi lakini chama bado kina fikra potovu ya...
  10. X

    ChinaTech: Marekani yataka kupunguza utegemezi wa vifaa vyake vya kijeshi kutoka China

    China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi. China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na Military supply-chain management. Critical technology: technology ambayo inawawezesha kutengeneza...
  11. comte

    The truth about Chinese corruption

    A generation from now, historians may look back at Chinese President Xi Jinping’s tenure as marking a break with the past; rather than defining a “new normal” for the Chinese economy, the time will be remembered for XI’s crusade against corruption. Thus far, China’s leadership appears to be more...
  12. L

    China na Tanzania zazindua Mwaka wa Utamaduni na Utalii wakati zikiadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia

    China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali. Hivi...
  13. L

    Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  14. X

    ChinaTech: Marekani iko nyuma sana kwa China katika nishati ya nyuklia

    Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia kwa sasa. Kwa nini? China wamekuja na teknolojia mpya (innovation) ya kwanza duniani iitwayo...
  15. Lady Whistledown

    China: Maafisa wa Jeshi Wauza nyaraka za siri badala ya kuziharibu

    C Wizara ya Usalama wa Taifa imesema Maafisa Wawili wa Jeshi (Guo na Li) waliotakiwa kuziharibu nyaraka za siri takriban 200 waliziuza katika Kiwanda cha kuchakata taka kwa chini ya Dola 4 za Marekani Tukio hilo limebainika baada ya Mstaafu mmoja aliyetajwa kwa jina la Zhang, ambaye hununua...
  16. X

    Viongozi wa G7 wailaumu China kwenye mkutano wao unaofanyika Italy

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo. Ajenda kuu ilikuwa China. Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China: 1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
  17. Yoyo Zhou

    Marekani huenda ikaiwekea China vikwazo kutokana na teknolojia ya kuponya ugonjwa wa kisukari

    Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari. Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
  18. X

    ChinaTech: Timu ya madaktari wa China wafanya upasuaji wa kwanza duniani kwa mgonjwa aliye Beijing, China wakiwa Rome, Italy(km 8100) wakitumia roboti

    China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine. Huu ni mfumo wa...
  19. L

    China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  20. L

    Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wawanufaisha Watanzania

    Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi yao. Mmoja wa wakazi wa jiji hilo, Anna Emmanuel, mama wa watoto wanne anayeishi eneo la Njiro...
Back
Top Bottom