Hivi mchina ana technolojia gani ya kumsinda Mmarekani?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
481
1,644
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
 
🤣🤣 Anacho mzidi ni propaganda na data za uongo juuu ya power yake. Otherwise USA asingefeel insecured na Uchina.
 
Umenena vizuri sana..... USA anapika sana data..... Taarifa zake hazina ukweli kivile.
Kweli kabisa. Tawala Media ,unatawala nguvu.
RUSSIA aliweza kuweka Trojan wake White house🤣 bila UK , USA asingelijua.

China alipeleka White baloon inayowachunguza for somedays hawakujua.

Kijeshi, Marekana kuna hawezi kuwasahau, Blackhawk down ilivyochezeshwa hadi kwenda kuomba msaada wa GGK Commandos, Vietnamese, Nchi za Asia etc kijesh bila Majeshi Rafiki USA hawezi cheza games alone.

Ktk technology China anawasumbua maana anauzalishaj mwingi na anaweza tengeneza vitu simple na ghalama na standard yeyote tu.

USA is overrated
 
U.S.A sio overrated kabisa wewe unacho fanya hapa ni zaidi ya kum underrate
 
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
1. Upande wa ndege U.S ana upinzani wa Airbus na sasa kuna Comac C919 hii ya China .
 
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
Sio kwamba ana teknolojia gani kumzidi USA, bali speed yake ya kucatch up ndio inamtishia USA. Yani kwa muda mfupi alikotoka na alipo sasa ndio hatari hiyo hili linaonyesha kuwa anaweza kumfikia na akampita.
Wakati Huawei wameilima sanctions, wao wamarekani walihisi walau aaweze kubreak through itakuwa 2028, ila wakaja kushangaa hata miaka 3 haijaisha Huawei katengeneza chip zake. Yani ilikuwa ni kama kitu impossible. Jana nimeona habari kuwa wamebreak through kwenye chip ya 5nm so simu itakayofuata itakuwa na 5nm na kumbuka kuwa wengine US wako 3nm ila shida sio hawa kuwa 3nm shida ni kwamba na vikwazo vyote hivyo bado jamaa wana catch up kwa haraka.
Samsung na LG walikuwa wamekamata soko la screen panels, TCL sasa hivi anatisha huko. EVs mchina now kashachukua taji, Meli ndiye anayeunda nusu ya order zote za meli duniani. Research papers kapublish za kutosha, Drones anauza drones nyingi.
Steve Jobs aliwahi kusema, wao wanazalisha iPhones china kwa sababu ukienda china ukataka watu wanaojua kitu fulani watajaa uwanja wa mpira ila USA inawezekana hata meza wasijae. Wachina wako aggressive na ule udikteta wa serikali unaweza kuwaongoza wana nchi kuelekea kokote wanakotaka bila kupinga.
 
2. Yes, space race U.S anaongoza kama ukiangalia tafiti na achievement zake ila kwa sasa China ana kuja kwa kasi sana lakini mimi binafsi nampa nafasi ya uongozi U.S labda kwa miaka 10-20 ijayo kama China akiendelea na hii hii kasi yake anaweza kumpita U.S kwenye space race.

I fell sorry for Russia kwa sasa naona kama hawana kasi sana katika masuala haya tofauti na kipindi cha nyuma jambo linalo nishitua kuhusu India anavyokuja anaweza kufikia alipo stuck Russia, ila warusi kwenye anga wapo vizuri naheshimu uwezo wao.
 
🤣🤣 Anacho mzidi ni propaganda na data za uongo juuu ya power yake. Otherwise USA asingefeel insecured na Uchina.
China Kuna vitu kamzidi marekani na marekani Kuna vitu kamzidi USA mfano ukija kwenye biashara na Africa Mchina kamuacha mbali marekani huwezi Kuta bidhaa za marekani nchi nyingi za Africa .Bidhaa za China ziko Kila mahali mijini na vijijini Africa .Mfano wewe binafsi una bidhaa Gani ya marekani? Lakini ya china huwezi kwepa lazima iwe nayo nyumbani
 
Sio kwamba ana teknolojia gani kumzidi USA, bali speed yake ya kucatch up ndio inamtishia USA. Yani kwa muda mfupi alikotoka na alipo sasa ndio hatari hiyo hili linaonyesha kuwa anaweza kumfikia na akampita.
Wakati Huawei wameilima sanctions, wao wamarekani walihisi walau aaweze kubreak through itakuwa 2028, ila wakaja kushangaa hata miaka 3 haijaisha Huawei katengeneza chip zake. Yani ilikuwa ni kama kitu impossible. Jana nimeona habari kuwa wamebreak through kwenye chip ya 5nm so simu itakayofuata itakuwa na 5nm na kumbuka kuwa wengine US wako 3nm ila shida sio hawa kuwa 3nm shida ni kwamba na vikwazo vyote hivyo bado jamaa wana catch up kwa haraka.
Samsung na LG walikuwa wamekamata soko la screen panels, TCL sasa hivi anatisha huko. EVs mchina now kashachukua taji, Meli ndiye anayeunda nusu ya order zote za meli duniani. Research papers kapublish za kutosha, Drones anauza drones nyingi.
Steve Jobs aliwahi kusema, wao wanazalisha iPhones china kwa sababu ukienda china ukataka watu wanaojua kitu fulani watajaa uwanja wa mpira ila USA inawezekana hata meza wasijae. Wachina wako aggressive na ule udikteta wa serikali unaweza kuwaongoza wana nchi kuelekea kokote wanakotaka bila kupinga.
True
 
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
3. Magari kwa sasa dunia inahama kutoka kwenye mafuta kwenda kwenye umeme na hapa China kafanya transition ya akili sana jambo ambalo mpaka wale magiant wa magari aliowakuta kwenye soko kawapita kwa kasi ya ajabu.

Mmoja ya mipango yao katika FYPs ambayo imefanikiwa ni hii na hapa nawapongeza.

China kupitia EV kampita kwa kasi Germany, Japan na sasa yeye ndie exporter mkubwa wa magari duniani hapa U.S ana kazi ya ziada kupambana na China hasa huko dunia inapoelekea kwenye magari ya EVs na hata katika upande wa battery na ndio maana Biden kaweka 100% tarrif kwenye EVs toka China.
 
Ukishagundua kwamba hii dunia inaendeshwa na Corporations na Corporations hazina nchi wala bendera bali the colour of money and profits utaanza kufikiria mambo kwa mlengo tofauti....

Moja coders wengi na watu wengi ambao wamejikita na wanapenda teknolojia ni Asians..., na hawa wanaajiliwa na kampuni kubwa kwenda kufanya kazi zao..., kutokana na mandhari ya sehemu mfano kule Silicon Valley kulikuwa na mazingira mazuri hence all brains wanataka / watataka kwenda huko sababu katika teknolojia start-ups nyingi hazitengenezi pesa wanapiga pesa kutoka kwa angel investors, sasa kama hawa wapo wengi sehemu fulani watu watakwenda huko....

Dunia ya sasa kuna kitu kinaitwa reverse engineering hata ukija na teknolojia yako watu wanaipiga kivingine na kama hauna pesa za kupelekana kwenye courts utaishia kushindwa..., Sasa hivi China katika Electronics ndio anailisha dunia na west are scared..., juzi tu hapa President wao alikuwa ufaransa kuona ni vipi gari zake za umeme anaweza kuzileta kwenye soko la ulaya bila figisu, ni kwamba Kwa kushindisha bei hakuna wa kumfikia China...

Ni kwamba China is the Industry of the World and they can do it Cheaply and no one can compete with them in that front, Hard working and can easily adapt....

Na pia wana Conglomerates mfano hata Hong Kong na Kampuni ya Samsung (ambayo ni backed na Serikali na kupewa matenda na Serikali); China Kampuni zipo backed na Serikali hivyo inaweza kufanya makubwa bila hivyo ingekuwa ngumu kushindana na the likes of Facebook na Google
 
Angalia Tech ambazo Marekani amepigwa gap na China

1. Advanced materials and manufacturing
1715843264908.png

1715843427186.png
 
Attachments

  • 1715843319386.png
    1715843319386.png
    159.9 KB · Views: 3
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha

Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.

Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
Angalia pia kwenye hizo nchi 2 nani katumia zaidi raia wake wa asili ya hio nchi...............
 
Back
Top Bottom