china

  1. JamiiForums Tanzania China imevunja rekodi ya ujenzi kwa kujenga nyumba yenye ghorofa 10 kwa Saa 28hrs

    ๐Ÿ’กChina wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!! ๐Ÿ’ญ China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika. ๐Ÿ’ญ Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya timu ya madaktari wa China nchini Niger

    China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Pamoja na maendeleo makubwa, China imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani, zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Trump afikiria punguzo la ushuru la 80% kwa china tofauti na awali

    Donald Trump ni kama anataka kuja na mpango mpya wa punguzo la ushuru kwa China kutoka 145% kwa sasa mpaka 80% huku kazi nzima akiachiwa waziri wa fedha Scott Bessent. Pia ni kama anaiomba au kuisisitiza China kufungua soko kwa Marekani japo yeye Trump anasema itakuwa ni vizuri kwa China ila...
  6. JamiiForums Tanzania Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  7. JamiiForums Tanzania "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka โ€“ Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa โ€“ ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu โ€“ Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ผ๐—ฏ๐—ผ๐˜๐—ถ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ถ

    ๐˜พ๐™๐™ž๐™ฃ๐™– ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™›๐™–๐™ฃ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™–๐™ข๐™—๐™ค ๐™ฎ๐™–๐™จ๐™ž๐™ฎ๐™ค๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™š๐™ ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™–๐™ค๐™ฃ๐™š๐™ ๐™–๐™ฃ๐™š ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™š๐™ ๐™–๐™ฃ๐™–, Hakika china imefanya Sayansi kuwa kweli. ๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ imefanikiwa kufungua hospital ya kwanza yenye Kutumia ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ผ๐—ฏ๐—ผ๐˜๐—ถ na ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—œ (akili Mnemba) ikiwa na wafanyakazi 14 Maroboti wanao tibu zaidi ya wagonjwa 3,000 kila siku. Hakika...
  9. JamiiForums Tanzania China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  10. JamiiForums Tanzania China Vyoo vya umma vinakupa taarifa kuhusu Afya yako wakati unajisaidia

    ๐Ÿš€ Hakika teknolojia inakwenda Kasi sana si unakumbuka ilikua unaenda hospital na dokta anakuagiza umletee sampuli ya mkojo kwa ajili ya uchunguzi kujua kinachokusumbua ni nini !!! โš™๏ธ Lakini nchini china mwaka 2024 waliweza kuleta mfumo wa kushangaza kwenye Vyoo ambavyo ni vya jumuia watu...
  11. JamiiForums Tanzania China imejenga kituo cha reli kwa saa 9 kwa kutumia wafanyakazi 1500

    China imeweka rekodi ya Dunia kwa kuweza kufanikiwa kutengeneza Kituo cha reli kikubwa ndani ya masaa Tisa. Waliweza kukusanya zaidi ya Wafanya kazi 1,500 zikiwa na Mashine nzito na kufanikiwa kukamilisha kituo icho kizima cha Reli kwa wakati uliorekodiwa. Wazungu wanasema when speed meets...
  12. JamiiForums Tanzania China kitamaduni zaidi

    Likizo ya Siku ya Mei Mosi nchini China inageuka kuwa ya kitamaduni isiyo ya kawaida! Kuanzia maonyesho ya kuvutia hadi bidhaa za kitamaduni zinazovuma, majumba ya makumbusho sasa ni chaguo bora kwa wasafiri wa ndani na wa kimataifa. Majumba ya makumbusho huko Beijing, Hunan, Jiangsu, Shaanxi...
  13. JamiiForums Tanzania China yahofiwa kujiingiza kwenye Mgogoro huko Lebanon

    Tukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rafic Hariri. Ndege hiyo ilikuwa imewasili kutoka Abu Dhabi, ambako...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyotolewa kiuchumi na China, mfano ni Korea Kaskazini Vs Korea Kusini

    Wakorea walipokubali kusitisha mapigano ya vita vya wenywe kwa wenyewe mwaka 1953 ilikuwa ni nchi moja ikagawanywa katika mataifa mawili, moja likaamua kuchukua mrengo wa ubepari na kushirikiana na US lingine likaenda njia ya Ukomunisti na kushirikiana na China. Miaka 72 leo baada ya uamuzi huo...
  15. JamiiForums Tanzania China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  16. JamiiForums Tanzania Tumirogwa? Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China?

    Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
  17. JamiiForums Tanzania Uwezo wa Houth kuzipiga droni za MQ-R yatajwa ndio sababu ya kutoshindwa kwao.Makamanda waonya matumizi ya silaha zinazohitaji kupigana na China

    Kwa vile Marekani haiwezi kuwa na askari wa upelelezi ndaniy ardhi ya Yemen inalazimika kutumia droni kwa kazi hiyo.Droni zinazoaminiwa na jeshi ni aina ya MQR-9 na matoleo yanayofanana nayo. Hizo ni aina ya droni zilizotengenezwa kwa bei kubwa kila moja ikigharimu dola milioni 30.Lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiangalia kwa umakini na kiundani Tanzania inahitaji serikalini inayojali hata iwe ya kibabe na kidikteta kama China

    Lakini iwe tu inajali maslahi ya wengi na "sio ya wachache kama ambavyo imekuwa toka kupata uhuru"
  19. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa China ni ma injinia au tuseme Wana sayansi

    Kuendelea Kwa china kiviwanda, Kilimo na uzalishaji kuna tokana na kuwa na uongozi wa Wana sayansi. Ambao wanajua maana kamili ya uzalishaji na sio maneno maneno.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Trump keeps claiming heโ€™s working on a deal with China. Beijing says that it is all in his mind

    President Donald Trump touted that the United States and China were at the negotiating table to reach a resolution to the trade war โ€” but Beijing says thatโ€™s not true. Washington was โ€œactivelyโ€ having discussions with Beijing this week, and Trump said he planned to be โ€œvery niceโ€ to reach a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ