and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,431
- 40,142
Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
Kwenye Uchumi watu huwa wanahesabu gharama za production ya kitu soko na gharama za kuagiza hicho kitu na bei yake kwenye soko.Ndio sababu kuna export na import.Pale unapoona kwamba ukiagiza kutoka China gharama zake ni nafuu unaagiza.Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
Tunahangaika na chadema kwanza na kudumisha wizi, ufisadi na uchawa!Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
Kama viongozi wako wenyewe wa ccm ni wabinafsi, mafisadi, na vilaza wa mwisho kabisa duniani wasio hata na chembe ya uzalendo, wala maono ya mbali! Ndiyo utegemee kuwa na maendeleo!Tumeshindwa hata kutengeneza Midoli nchini mpaka tuagize China? Tumirogwa? - Miaka 61 ya Muungano!
Serikali ipi hiyo!! Hii hii inayopeana vyeo vikubwa kwa misingi ya rushwa, undugu, urafiki na ukada! Hilo sahau.Nimekuta vijana fulani wanajiundia mikanda ya jipsamu, nikauliza kwa nini mnaiunda uchochoroni mafichoni wakati ni bidhaa inayohitajika kwenye ujenzi wa nyumba? Walinijibu wanaogopa kukamatwa na kusumbuliwa na mamlaka. Sasa vijana kama hawa si ndio vema wakasaidiwa na serikali waunde bidhaa zao bila bughudha? Kama mfumo rasmi wa elimu uliopo unashindwa kwendana na mahitaji ya binadamu ni bora serikali ikaangalia pande zingine watu wanahitaji nini kwendana na wakati wa sayansi na teknolojia. Kuna VETA, VETA inalemewa, inashindwa kuona fursa mpya na kuanzisha kozi zake wanafunzi wakasomee stadi na ujuzi huo
Waambie ukweli Hawa majizi yaliyokubuhu!Kama viongozi wako wenyewe wa ccm ni wabinafsi, mafisadi, na vilaza wa mwisho kabisa duniani wasio hata na chembe ya uzalendo, wala maono ya mbali! Ndiyo utegemee kuwa na maendeleo!
Asimia kubwa vitu vinagizwa mpka dawa zamswaki ccm imefeliKwenye Uchumi watu huwa wanahesabu gharama za production ya kitu soko na gharama za kuagiza hicho kitu na bei yake kwenye soko.Ndio sababu kuna export na import.Pale unapoona kwamba ukiagiza kutoka China gharama zake ni nafuu unaagiza.
Kwani wewe ulitaka nani aanzishe kiwanda cha kutengeneza midoli?Je soko lake lipo na linalipa?
Nchi nyingi duniani zinaagiza midoli China kwa sababu ni cheap na gharama zao za kutengeneza zipo chini.
China wanasaidiwa na mass production ya vifaa vingi kwa sababu ya cheap labour na gharama nafuu za uzalishaji kwa wingi