cheti cha kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Selwa

    Nimeacha na mwanamke wangu, sasa anasema kajifungua mtoto wangu ila cheti cha kuzaliwa hataki nikione

    Bangudu me naomba msaada, kuna mdada nimemuacha hivi karibuni kanitesa sana. Sasa anasema kajifungua mtoto wangu ila cheti cha kuzaliwa hataki nikione nahisi ameandika jina la mwanaume mwingine ila anataka me ndo nitoe matumizi. Je kuna mtu yeyote anaeweza kunsiaidia kuchungulia huko cheti cha...
  2. A

    KERO eRITA portal ina matatizo. Yatatuliwe haraka

    Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina yoyote tunapata tabu sana ukienda Ofisini shida tupu. Hakuna haja ya kuwa na eRITA portal
  3. Zemanda

    Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  4. Think2

    Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

    Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
  5. anxiety

    Nataka nibadilishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto wangu. Nawezaje kufanya hivyo?

    Wakuu Kuna mwanamke kipindi Cha ujana tulifanikiwa kupata mtoto. Baada ya hapo nikawa nimetoka sehemu hiyo Sasa mwanamke majina yangu hakua anaya fahamu, Ikabidi mtoto apewe majina tofauti na yangu. Changamoto imekuja nataka nimfungulie bima. Nataka kufahamu nitumie njia gani ya kubadilisha...
  6. hamza mahundu

    Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri

    Yaan vyet viko viwl je sio shida? Cheti cha kuzaliwa nilichoweka ajira hakionekani vizuri ila nime ki certfy hvo nikaamua kuweka na kinachoonekana vizuri ambacho hakija pigwa muhuri
  7. A

    KERO Ofisi ya RITA Temeke huduma za kutoa vyeti vya kuzaliwa kuna changamoto kubwa

    Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
  8. M

    Cheti cha kuzaliwa

    Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
  9. M

    Nahitaji Cheti Cha Kuzaliwa

    Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo bongo. Nahitaji mtu mwenye uzowefu na anajua kitachotakiwa kufanyika. Kwa bahati mbaya niliondoka...
  10. Julius byakuzana

    Je, kuomba ajira, NIDA tu inatosha au vyote (cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja?

    Je, kitambulisho Cha NIDA kinaweza kuwa mbadala wa cheti Cha kuzaliwa (endapo huna hicho cheti) katika kuomba ajira au vinahitajika vyote kwa pamoja?
  11. H

    Natengeneza tin certificate, cheti cha kuzaliwa, lessen ya biashara

    Kwa wale wenye uhitaji WA tin certificate, vyeti vya kuzaliwa na lessen za biashara nakutengenezea Kwa bei nafuu Sana ...nichek 0761808489 Kwa wasap au normal SMS... Huduma NI uhakika
  12. Mkoba wa Mama

    Je, kitambulisho cha taifa na cheti cha kuzaliwa havitoshi mpaka tena uwe na barua kutoka serikali za mitaa?

    Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini? Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana...
  13. A

    Huu ujumbe wa RITA kwenye kuhakiki cheti cha kuzaliwa una maana gani

    Hellow wakuu, naomba msaaada hapa kwenye cheti cha kuzaliwa wakati wa uhakiki una maana gani leo siku ya tatu bado inasumbua aisee halafu ndugu yangu anataka kuomba chuo, pia muda wa maombi unaisha aisee
  14. Z

    Msaada kuhusu maombi ya cheti cha kuzaliwa RITA

    Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
  15. JanguKamaJangu

    LGE2024 John Mrema: Watoto wanaotaka kujiandikisha waende na cheti cha kuzaliwa

  16. T

    Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  17. Tanki

    NSSF walikataa kunipa mafao yangu hadi niwapelekee cheti Cha kuzaliwa.

    Hiyo ilitokana na utofauti wa tarehe ya kuzaliwa iliyopo kwenye nyaraka zangu za NSSF na nyaraka zangu uraia. Utofauti huo ulikuwa ni tarehe tu ila mwezi na mwaka vilikuwa sawa. Ok, nilifungua madai ya kulipwa mafao yangu. Nikakamilisha Kila kitu. Nikapewa na tarehe ya kuingiziwa hayo mafao...
  18. A

    KERO RITA Korogwe kuna tatizo upande wa kutoa vyeti vya kuzaliwa

    RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na umetumia gharama kubwa kukifata. Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu...
  19. B

    NIDA mmeongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa. Hii ni halali kweli? | NIDA wafafanua, wataja vitu vitatu muhimu kuwa navyo

    Mwanzoni walihitaji kitambulisho cha kura, baadaye wakahitaji cheti cha kuzaliwa. Na kwasasa wanahitaji tuwe na: Cheti cha kuzaliwa Cheti kutoka Migration Cheti cha kidato cha nne Cheti cha darasa la saba. Uwe navyo vyote. Ni halali kweli hii? ====== JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa...
  20. Trainee

    Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
Back
Top Bottom