chemistry

Chemistry is the scientific discipline involved with elements and compounds composed of atoms, molecules and ions: their composition, structure, properties, behavior and the changes they undergo during a reaction with other substances.In the scope of its subject, chemistry occupies an intermediate position between physics and biology. It is sometimes called the central science because it provides a foundation for understanding both basic and applied scientific disciplines at a fundamental level. For example, chemistry explains aspects of plant chemistry (botany), the formation of igneous rocks (geology), how atmospheric ozone is formed and how environmental pollutants are degraded (ecology), the properties of the soil on the moon (astrophysics), how medications work (pharmacology), and how to collect DNA evidence at a crime scene (forensics).
Chemistry addresses topics such as how atoms and molecules interact via chemical bonds to form new chemical compounds. There are four types of chemical bonds: covalent bonds, in which compounds share one or more electron(s); ionic bonds, in which a compound donates one or more electrons to another compound to produce ions (cations and anions); hydrogen bonds; and Van der Waals force bonds.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanga Mkali

    JamiiForums Tanzania Mwenye Bachelor of Science, Industrial Chamistry aje PM tutete

    Salam wakuu Nina project kwenye eneo hilo nahitaji mwenye elimu hiyo tutete. Njoo PM only for the qualified one nje ya hapo usipoteze muda ni swala serious. Mwenye uzoefu wa miaka 2 kwenye ajira husika na kuendelea atafaa zaidi.
  2. Mwamundela

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhitaji wa Mwalimu wa masomo ya Chemistry, Biology na Physics

    Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mwalimu kwa taaluma ,nimesoma Bachelor of science with Education (Bsc EDUCATION) Na nimehitimu mwaka 2017. Nina uzoefu wa kufundisha Chemistry na Biology Kwa miaka mitano(5) Kwa NGAZI zote yaan A-Level na O- Level. Napatikana kitunda...
  3. IgKim

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, nimesoma Stashahada ya Ualimu Chemistry na Biology. Naweza fundisha Sekondari na Msingi

    Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
  4. enelisamwakapala

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Mathematics anahitajika

    1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics 2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu 3.Shule iko kibaha 4.Nitumie Cv yako inbox
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

    Habari za jioni wakuu mabibi na mabwana Huyu binti namfahamu tangu akiwa mtoto. Anatoka kwenye mazingira magumu kuliko ngumu wenyewe. Hamjui baba yake mzazi, hajawahi kumsikia wala kumuona. Mazingira ambayo mama yake hawezi kumiliki hata simu ya elfu20, hawezi lipa kodi vyumba2 vya elfu 60...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  7. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Mathematics na Chemistry (Levels zote)

    Kama unahitaji home tuition kwa mwanao kwa masomo tajwa hapo juu basi upo mahali sahihi. Nakuja nyumban kwa maeneo yote ya Karibu na Kimara, Mbezi, Ubungo, Kawe mpka Tegeta na Bunju, Masaki, Kurasini Airpot, Goba, Mikocheni n.k DM ipo wazi, Karibu.
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

    Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry? Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi ililenga watu hawa waajiriwe kwenye taasisi zilizojikita zaidi kwenye mambo ya mafuta na gesi. Sasa...
  9. frangwi12

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu wa Chemistry na Biology natafuta kazi

    Mim ni mwalimu wa masomo ya Biology na Chemistry nipo Dar, Temeke. Kwa shule yoyote yenye uhitaji wa mwalimu, nicheki 0624843841.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa.

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Urine Chemistry Analyzer AX-1688 Machine inauzwa

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  12. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Urine Chemistry Analyzer AX-1688 inauzwa bei maelewano

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Biology and Chemistry Teacher at Mugini Secondary School

    Mugini Secondary School is seeking professional, hard-working Physics & Mathematics Teacher with at least four years of experience. The Institution demands independence, integrity, objectivity, competence and due care from all of its personnel in the conduct of its engagements. Our Company is...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna chuo kinatoa degree ya Hesabu, chemistry, physics etc. Somo kama somo?

    Eti wakuu. Chuo gani Tz kinatoa degree ya physics, hesabu, biology au chemistry. Yaani somo kama somo.
  15. Planet Open School

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Biology na Chemistry anahitajika Mwanza

    Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu. Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
  16. Father of Chemistry

    JamiiForums Tanzania Bsc. Chemistry VS. Agriculture economic and banking.

    Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii. Mimi ni first year mtarajiwa. Nawasilisha.
  17. Father of Chemistry

    JamiiForums Tanzania Bsc. Chemistry ni nzuri?

    Hellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa hapa nchini(🇹🇿) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
  18. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Amka kijana usibweteke

    Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara mdogo, tatizo sio ajira hakuna, tatizo sio fursa, tatizo sio kusoma mchepuo wa hati au sayansi...
  19. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

    Hawa wasomi wanashangaza. Hivi ninyi ni walimu?🤣 Hivi taaluma yenu mnaijua kweli. Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ? Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣 Anyway, mimi sijui.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Liangaliwe upya: Si rahisi kupata 'C' kwenye Chemistry kuweza kusoma Health-related programmes

    Jedwali limetoka, C ni 60-69 out of 100. Hizi ni alama za juu kidogo kwa A level chemistry. Hili lingeangaliwa upya maana wengi watakosa sifa hiyo. Kwa shule za private inaweza isiwe shida sana, lakini za Kata shida ipo (na si kosa lao, mazingira yao ya kusoma ni shida. Wataachwa nyuma)
Back
Top Bottom