Bsc. Chemistry ni nzuri?

Hellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa apa nchini(🇹🇿) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
Soma kozi inayoeleweka. Ni bora ukasoma tu BscED ya Chemistry kuliko kusoma kozi haieleweki halafu ukaanza kujilazimisha kuwa Mwalimu wa Kemia wakati hukusoma Ualimu.
 
Bsc in chemistry ni kozi nzuri Kama Una connection utakula shavu sana kwa sababu ni kozi inayoingia popote lakin pia ukimaliza unaweza ukaomba ajira idara ya maji, kwa mkemia mkuu(panahitaji connection), NEMC (connection hinaitajika), pharm industry (hapa pana Competition na pharmacy) , mines, TFDA(connection),
 
Ni kozi nzuri, kapige msuli kwa sana. Jitume ukienda field jitolee sana usiwe mvivu, zaidi tengeneza urafiki wa karibu sana na lecturers wako watakupa michongo. Omba upangiwe sehemu nzuri pia za kufanyia field ujifunze mambo mengi zaidi. Kila lakheri🙏🏻
Shukrani sana boss kwa ushauri wakoo,,, nimekupataa 💯% 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kama kichwa chako ni kizuri soma chochote na uwe tayari kutumia ulichosoma ili kuishi.
We umekomesha.kichwa kizuri ku solve equation au kubuni ajira.
Eanaosoma science wengi vichwa vyao vizurivsasa sijui uzuri upi unaousema.
 
Back
Top Bottom