Bsc. Chemistry VS. Agriculture economic and banking.

Emega

Member
Jun 15, 2013
22
45
Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.

Nawasilisha.
Nashauri Agriculture Economic and Banking. Hii course nadhani ipo SUA ni sawa na Agribusiness yaani kilimo biashara hawa huajiriwa sehemu kama vile soko la kariakoo au taasisi zote zilizo chini ya wizara ya kilimo.
Kwa nchi maskini kama Tanzania Agriculture bado ina fursa nyingi.
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
327
500
Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.

Nawasilisha.
Kwa kwel mpaka sasa elimu yetu bado ni upuuzi mwng hv kama mpaka muda huu mtu umemaliza form 6 hujui passion yako...hujui nn unataka kukiishi ...nn unataka kukifanyia kazi....tunaandaa kizazi cha upigaji tu....kuna kasumba mtaan mtu kasoma udaktari ila anapenda maswala ya computer..will you be competent?? mdogo wangu follow your f*ck*n heart ...mengine yatakuja.. utaenjoy your fucken journey on the earth...usiishi maisha ya mtu ishi maisha yako...kabla hujachagua course jiangalie ww n nan..nn unapenda kufanya kasomee huko..what is your fucken passion?? Shemeji yako anapenda sana wanyama yaan yy akiona Pets anafurahi hatari na uelewa wa biology ulikuwa juu sana ila sasa maushauri ya kijinga kaenda kusoma engineering ...yaan she doesnt feel working anymore..at 26 yrs of age anachukia kazi coz haimuimpress what if angesoma BVM ...siri ya kusoma unachopenda unakuwa na ubunifu zaid... Watu wenye makampuni makubwa waanzilishi ni watu walioendeleza vitu wanavyopenda...haujaumbwa uje kusoma ili uajiriwe na mhindi ...ni ile uchochoe kipawa chako kionekane mbele ya binadamu motherfucker.... Wake your ass up.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,801
2,000

Umesema ukweli kabisa, ila kumbuka Tz ni LDC future ya kila mtu inakua determined kwa 80% by luck na sio professionalism, Tz unakuta waziri wa afya alisoma LLb, Wazili wa kilimo alisoma pharcutical science...na kila kitu kiko sawa., mambo ya passion ya mutu its irrelevant soma kitu unacho ona kwamba luck may find you.
 
free lander

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
283
250
Hiyo course ya SUA ni agricultural investment and banking (first intake 2020/2021). Ni tofauti na agricultural economics and agribusiness. Zote zipo chini ya SAEBS

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
757
1,000
Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii.
Mimi ni first year mtarajiwa.

Nawasilisha.
Go for Agriculture Economics & Banking. Agriculture is a huge growing sector and as one of drivers economic prosperity (individualy & Countrywise).
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
327
500
Anyway kwa kufuata nn mdogo wangu anategemea kukipata ngoja nimpe dondoo za chemistry...
Kwanza na declare interest i am chemist by professional... Sehemu unazoweza fanya kazi kama mkemia
Serikalini
Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
Tpri arusha- taasis ya udhibiti wa matumizi ya pesticides
Tbs- taasis ya ubora
Tdma
Nimr
Wizara ya kilimo na ufugaji
Wizara ya afya
Vyuo vyote vikuu kama lab techinician
Taec- watu wa maswala ya mionzi
Tpdc
Ewura
Wizara ya maji
osha
Na kadharika hzo zote mshahara wako unaanza 1mil bila allowance

Private
Kiwanda chochote kila kinachojihusisha na chemical treatment...au chemical processing ujue unafit vzur
Kiwanda cha dawa,vyakula,vinywaji,petroleum,
Hapo ukipata viwanda vya wazungu una 1mil+
Ukipata l
Kwa wahindi mwendo wa 500+

Kukosa ajira kwa wakemia kunachangiwa na uzembe wako

Ss ni class 2015..nusu ya darasa wapo serikalin.;, others wapo private wasio na ajira ni wawili tu tena ni kutokana na termination ya mikataba yao juzijuzi tu wengne wako na kampuni zao...ila mostly important soma unachohisi utakuwa comfortable kufanya
 
_MKEMIA_

Senior Member
May 21, 2021
184

Shukrani sanaa boss
 
Mbanti

JF-Expert Member
Apr 29, 2017

Umesomea ud mkuu?
 
Mbanti

JF-Expert Member
Apr 29, 2017
327
500
Yap... Kwa dr. Mwakaboko na dr. Philip enzi za marehemu dr. Mdachi
Kumbe unawapata vyema...na marehemu Prof. Mubofu.....
Prof. Mahugija
Dr. Mgani
Prof. Othman
Dr. Mgina
Dr. Nyandoro
Dr. Munissi
Prof. Mhinzi
Prof. Lugwisha
Dr. Kessy
Prof. Mkayura
N.k
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom