chelsea

  1. D

    Chelsea kanimaliza

    Wakuu chelsea ni chama langu ila kwa mwenenendo huu sijui kama nitafika, jana kanikata kila kitu kuanzia vibe hadi mtonyo nilimuamini sana nikamuwekea laki mbili duuh lakini kanibwaga. Uchungu zaidi nilikoweka hata bonus hakuna , sijui ni wapi angalau ningepata kabonus kutuliza moyo...
  2. TANZIA Gianluca Vialli afariki, alikuwa straika wa Chelsea, Juventus na Italia

    Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na saratani ya kongosho kwa muda. Alikuwa straika aliyecheza Timu ya Taifa ya Italia, Sampdoria, Chelsea...
  3. Huko Chelsea kinanuka Muda huu

    Yaani ni Moto. Ama zake ama zangu. Kocha analiwa kichwa. Huyu ndg potter aliambiwa amchukue kristiano anakadai hayupo kwenye mipango.. Soon Chelsea watapokea kijiti Cha man utd. Migogoro na wamiliki
  4. Chelsea yamfukuza kazi Mkurugenzi wa Biashara kwa unyanyasaji wa kingono alioufanya kabla hajaajiriwa

    Aliyefukuzwa ni Damian Willoughby ambaye alikuwa ameajiriwa na Chelsea ndani ya mwezi mmoja uliopita. Imebainika Willoughby alikuwa akimpigia na kumtumia ujumbe wa simu (SMS) kumdhalilisha na kumnyanyasa kingono Wakala la Fedha za Soka, Catalina Kim. Catalina alienda kulalamika kwa uongozi juu...
  5. D

    Chelsea kumfukuza Tuchel ni sawa?

    Binafsi ni shabiki wa Arsenal, Ila kitendo cha Chelsea kumfukuza Tuchel baada ya kufungwa na Leeds naona Chelsea wamekurupuka na itawacost
  6. Chelsea yamfungashia virago kocha Thomas Tuchel

    Klabu ya Chelsea imemfuta kazi kocha wake Mkuu Thomas Tuchel kutokana na uwepo wa mwendelezo mbaya wa matokeo unaoikabili timu hiyo. Kufurushwa huku kumetokea masaa machache baada ya kupokea kipigo cha goli moja kwenye michuano ya UEFA kutoka kwa Dinamo Zagreb. Tuchel alijiunga na timu hii...
  7. Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  8. Vijana wa Leeds United waichapa Chelsea 3-0 kama wamesimama

    Leeds United imeendelea kuwa na mwanzo mzuri wa msimu baada ya kufanikiwa kupata ushindi magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea kwenye Uwanja wa Elland Road, leo Agosti 21, 2022. Wafungaji wa #LeedsUnited katika mchezo huo ni Brenden Aaronson, Rodrigo Moreno na Jack Harrison, pia haikuwa siku nzuri kwa...
  9. FT: Leeds United 3- 0 Chelsea, EPL

  10. Taarifa ikufikie kuwa Chelsea wanataka kumsajili Harry Maguire

    Chelsea wanataka kufanya usajili unaotajwa kuwa unaweza kuwa wa kushtua baada ya kudaiwa wanamtaka Harry Maguire wa Manchester United. Chelsea wanataka wamsajili beki huyo katika dili la kubadilishana wachezaji ili wao wamruhusu Christian Pulisic kwenda #ManUnited. Maguire amekuwa akilaumiwa...
  11. EPL: Chelsea, Spurs zatoka sare ya 2-2, Harry Kane apiga bao dakika ya 90+

    Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo Agosti 14, 2022 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge. Kalidou Koulibaly na Reece James ndio waliofunga...
  12. Chelsea yaanza mazungumzo ya kuwasajili Aubameyang na Frenkie de Jong

    Chelsea imeanza mchakato wa kutaka kuwasajili mastaa wa Barcelona, Frenkie de Jong na Pierre-Emerick Aubameyang aliyewahi kufanya kazi Kocha Thomas Tuchel katika kikosi cha Borrusia Dortmund. Aubameyang alijiunga ba Barcelona, February 2022 na anatamani kuendelea kubaki hapo lakini anaweza...
  13. Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  14. Chelsea kutangaza usajili wa Koulibaly leo Julai 14, 2022

    Beki Kalidou Koulibaly amesafiri Jijini London kwa ajili ya kukamilisha usajili wake kutua Chelsea ambapo anatarajiwa vipimo vya afya, lei Julai 14, 2022 kabla ya kuungana na wenzake. Raia huyo wa Senegal anatarajiwa kusajiliwa kwa ada ya Paundi Milioni 34 baada ya kuitumikia Napoli kwa miaka...
  15. Mmiliki mpya wa Chelsea akutana na wakala wa Ronaldo

    Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
  16. Mashabiki wa Chelsea wakasirishwa Lukaku kujipeleka Inter Milan

    Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo. Inadaiwa kuwa alifanya tukio hilo miezi miwili iliyopita wakati timu yake ikiwa bado ipo kwenye mashindano...
  17. Rasmi Premier League yapitisha dili la Todd Boehly kuinunua Chelsea

    Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umethibitishwa rasmi kupitisha mchakato wa Klabu ya Chelsea kuuzwa kwa paundi bilioni 4.25, ambapo mnunuzi ni Bilionea Todd Boehly. Klabu hiyo iliwekwa sokoni na aliyekuwa mmiliki wake, Roman Abramovich ambaye amewekewa vikwazo kutokana na ukaribu...
  18. Liverpool waipiga Chelsea, wabeba ubingwa wa FA Cup

    Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley, leo Mei 14, 2022. Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo yalikuwa 0-0, ilibaki hivyo hata baada ya kuongezwa dakika 30. Mason Mount alikosa penati ya mwisho kwa...
  19. Man United 1-1 Chelsea ngoma ngumu, watoshana nguvu

    Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022. Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
  20. Lewis Hamilton na Serena Williams wamejiunga na Sir Martin Broughton consortium kutoa ofa ya kuinunua Chelsea Football Club

    Lewis ambaye ni mshindi mara saba wa Formula 1 world champion na Serena ni mshindi wa 23 tennis grand slam singles titles. Wameungana na wengine watatu pamoja na mwenyewe Sir Martin Broughton aliyekuwa mchezaji wa Liverpool kutaka kuinunua club ya Chelsea. Kila mmoja amechangia £10M Hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…