chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  2. Mkanganyiko chanzo cha mgogoro wa Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita

    Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa na mvua, Ofisi ya Ofisa Madili Wilaya ya Mbogwe amesema chanzo ni mvutano unaohusisha kiwango cha...
  3. Chanzo cha Uhasama baina ya Saudi Arabia na UAE

    Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
  4. TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  5. The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  6. N

    Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  7. Chanzo, Sababu na Athari za kuanguka kwa Dola la Kiislamu

    Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi. Jibu fupi Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote. Dola ya Kiislamu ilianguka kwa awamu, na pigo kubwa la kwanza lilitoka kwa Wamongolia, kisha mwisho rasmi wa Ukhalifa...
  8. Chanzo cha Ugomvi wa Marekani Vs Venezuela

    Hiko hivi Sababu kuu nyuma ya ugomvi wa U.S. na Venezuela ni Mafuta. Venezuela ina akiba kubwa ya mafuta duniani. Malighafi hii ni nyingi sana kwa uzalishaji wa bidhaa za wese (hasa kwa ukanda wa Americas). Kwa nini hili wese linaleta shida: Kwanza mafuta = economic power, Mafuta =...
  9. I

    Nini chanzo cha mgogoro kati ya Marekani na Venezuela?

    Leo tarehe 3/Januari/2026, vyombo vya habari vya Magharibi vimetoa taarifa ya kushambuliwa kwa Caracas. Mshambuliaji ni Washington. Wanajumuiya wenzangu wa Jukwaa hili maridhawa, ninaomba mwenye nondo za chimbuko la mgogoro huu azishushe hapa ili sote tupate maarifa. By the way...hivi kuna...
  10. Wanyakyusa walikuwa wanafanya Autopsy(Upasuaji wa maiti kujua chanzo cha kifo) kabla ya wazungu kuja Afrika

    Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916 Mazishi Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
  11. Mwambieni Robert Hariel Mtibeli kusema kwamba malezi mabovu ndiyo chanzo cha matatizo yetu na siyo CCM ni tusi kwa Watanzania

    Kiufupi,mwenye ID Robert Hariel Mtibeli kasema ni propaganda kusema kwamba matatizo tuliyonayo Tanzania hayatokani na CCM bali yanatokana na malezi na ukoloni mambo leo. Kusema kwake huko ni jaribio la wazi la kuitengenezea CCM kivuli cha kujificha kwa kukosa kuwajibika kwa wananchi...
  12. PostGE2025 Wameunda Tume ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri

    Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
  13. Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

    Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka 2. Juma Nature - Nini Chanzo
  14. Nchi ya haiti,polisi ndio chanzo hata ukipeleka jeshi itakuwa ngumu.

    Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo. Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
  15. K

    Hayati Magufuli kaacha legacy mbaya sana kwenye usalama wa nchi hii!

    Hawa usalama na Polisi ni magufuli ndiyo alianzisha haya mambo ambayo tusipokuwa makini yatatuletea machafuko TZ. Kuwa aminisha Polisi waweze kuiba kura, kuaminisha usalama kusiliza simu za watu ovyo ovyo bila amri ya mahalama, TRA na usalama kufunga account za watu za bank bila kibali cha...
  16. Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  17. Ukweli ni upi kuhusu chanzo cha vita ya Kagera?

    Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi ya obote kurejea madarakni ambayo yalishindwa hivo amin akaamua kulipua kagera ikiwemo kiwanda cha...
  18. Walivyojipanga yale maeneo ambayo wanaona ndio chanzo kumbe yanaweza maandamano yakawa Zanzibar

    Sehemu zote zilizotokea October 29 Polisi, wanajeshi na TISS wamejazana wakiwa teyari kumwaga damu. Sasa wasicho kijua kinaweza kuwa yani walipo pangwa sio hapo. Mtakuja kushangaa kesho yakawa sehemu ambayo uwezi tegemea kabisa.
  19. Kijana: Viongozi ndio chanzo cha vijana kufanya maandamano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameendelea na ziara yake maalum ya kukutana na kuzungumza na vijana katika Mkoa wa Ruvuma ambapo ameonya dhidi ya watendaji wa serikali wanaokwamisha shughuli za vijana kuwa hawatavumiliwa. Akiwa wilayani Songea leo Ijumaa tarehe...
  20. Jaji Winfrida Korosso: Sheria zilizopitwa na wakati ni chanzo cha hasira kwa vijana

    Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…