chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ujinga mliofanya Singida ndo chanzo cha kufungwa na Wapinzani wetu

    Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika. Tukawaambia mkawakabe watu flani. Mmeenda kufanya mambo ya kujichosha akili mapema. Mnagoma kuingia vyumbani. Halafu mlivyowajinga mnacheza...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Masifuri form four ni lugha ya Kingereza

    Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne. Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika msingi Bora wa kufahamu kughq ya malkia . watu .wengi wamenifata pm ili niwape ushauri bada ya...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani wamegundua kuwa majiko ya gesi ni chanzo cha maradhi ikiwemo asthma hasa kwa watoto

    Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa ==== Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images) The U.S. Consumer...
  5. JamiiForums Tanzania Chanzo halisi cha mbwa (Origin of dogs)

    Bonobo! Canis Lupus Familiaris ndiyo jina la hii specie tunayoijua na kuipenda..Almaaruf kama Mbwa!! Wengi mkiulizwa mbwa wametokea wapi kwa haraka haraka mtasema waliumbwa na Mungu. Lakini kama maswali mengi kwenye hii dunia, majibu yake huwa sio rahisi kihivyo. Leo tuingie deep zaidi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

    Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas. Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

    Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
  9. JamiiForums Tanzania Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  10. JamiiForums Tanzania Upendeleo wa kijinsia kwenye makuzi ya watoto unachangia tabia ya wanawake kufanyiwa ukatili

    Katika maisha yetu ya kawaida hasa sisi watu wa kipato cha chini, nasema hivyo kwa kuwa nimetokea kwene mazingira hayo, japokuwa najua hawa wale wa hadhi ya juu nao wanaweza kuwa wanahusika. Kibongobongo maisha kwenye familia nyingi wazazi wengi na wale wamekuwa na tabia ya kutengeneza...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  12. JamiiForums Tanzania Majani yenye sumu yadaiwa kuwa chanzo cha ng’ombe 15 kufa wilayani Monduli

    Ng’ombe 15 wamekufa katika kijiji cha Losirwa wilayani Monduli Mkoa wa Arusha wakidaiwa kuwa wamekula majani yenye sumu yaliyoota maeneo mbalimbali kijijini hapo. Akizungumzia suala hilo mkuu wa wilaya ya Monduli, Fank Mwaisumbe amesema hadi jana zaidi ya ng'ombe 15 wamekufa kwa kula majani...
  13. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya kusema Wazungu ndo chanzo cha umaskini Afrika ifuatwe

    Umaskini tuna utaka wenyewe ila Wazungu wanatumia madhaifu yetu kuwa opportunite yao, hata angekuwa wewe ndo Mzungu. Kwa akili zetu hizi wa Afrika za ubinafsi ni lazima ungetajirika. Kwa ufupi kinacho tufelisha wa Afrika ni ubinafsi wetu ndo una tufelisha tu. Na kingine sisi ni waoga saana...
  14. JamiiForums Tanzania 'Ngono Biashara' chanzo cha maambukizi mapya ya UKIMWI kwa vijana

    Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kilele cha maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, inaelezwa kuwa uhusiano wa kimapenzi usio wa ndoa, wala wa kibiashara unaochochewa na dhana ya wazi kwamba ngono itabadilishwa kwa usaidizi wa mali au manufaa mengine almaarufu ngono muwawana, unazidi kujengeka...
  15. JamiiForums Tanzania Mmomonyoko wa maadili chanzo ni wazazi na walezi kwa 99.9%

    Habari! Kuna vitu vinatokea tunaanza kumsingizia shetani au makundi. Hayo makundi mabaya yanaundwa na wanyama? Ni watu ambao wazazi na walezi wao wameshindwa kuwaonyesha njia. Kitaalamu tunasema tabia ya mtoto inajengwa shule, nyumbani na barabarani. Tone la bahari ukitia kwenye mto wa maji...
  16. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  17. JamiiForums Tanzania Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    Tsup! Leo tuzamishe kidole gumba kwenye bahari -bahari ambayo ni hii mada ihusuyo chanzo halisi cha binadamu. Hii story (History😅) ni very complicated na ndefu ila nataka niandike kwa ufupi sana nisije nikajaza page 200, so without further'a do, let's dive into it. Creation theory Kabla ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mfumo wetu wa elimu ni chanzo cha umasikini?

    Moja kwa moja kwenye mada!! Mara nyingi najiuliza kwamba suala hili la mfumo wetu wa elimu kuzalisha mbumbumbu, Serikali hailioni imeshindikana kuubadilisha, au kuna manufaa gani inapata kwa mfumo huu. Miaka 7 ya primary school tunafundishwa Mkwawa alikufa mwaka gani? Mara Kinjekitile Ngwale...
  19. JamiiForums Tanzania Msemo wa 'afutatu' unaovuma mitandaoni chanzo chake ni kipi?

    Habari za muda huu wana Jf. Wiki hii nikipita karibia kila mitandaoni naona msemo wa 'afutatu' unatembea sana, kwenye status, memes nk mpaka imekuwa kama upuuzi fulani. Nimepata shauku ya kujua imeanza vipi mpaka kupata muitikio mkubwa kiasi hiki na kushika trend ya mitandao ya kibongo? Picha...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…