chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo ya Kodi ni 'Bunge' lakini watu wengi hawaoni

    Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi. Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili. Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
  2. JamiiForums Tanzania Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala zima la matumizi ya chanzo mbadala cha Nishati

    Suala la nishati ni muhimu sana katika maendeleo ya nchi na ustawi wa wananchi. Hata hivyo, nishati ya mafuta na gesi imekuwa ikileta changamoto kubwa katika suala la mazingira na afya ya binadamu. Kuna haja ya kuangalia chanzo mbadala cha nishati ambacho kitakuwa salama kwa mazingira na afya ya...
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kushuka thamani kwa pesa ya South Africa, Rand kwa cent zaidi ya 30 dhidi ya USD$

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  7. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwisho ya Membe akieleza sababu za kutoelewana na Magufuli

    Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa mashushusu hodari nchini, amesema Rais Magufuli, pamoja na mambo mengine, alimfitini...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia duni za utunzaji wa fedha ndio chanzo cha umaskini kwenye jamii zetu. Tuziepuke!

    Habari, Watanzania wengi ni watu wenye vipato vyenye kukidhi mahitaji madogo madogo ya kila siku. Kwa kuzingatia hilo kumekuwa na harakati mbalimbali za kupambana na hali duni za maisha kwaajili ya kutafuta kipato cha uhakika kitakacho wafanya waishi maisha mazuri. Zifuatazo ni njia duni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo cha Ugomvi wa Shetani na Mwanadamu

    Napenda kukalibisha uchangiaji wa maada,ili watu wapate kujua,kutokana na ukubwa wa elimu za Dini tofauti Sipendi michango ya matusi au kukashifu Dini ya mwingine,kwani naamini hakuna Dini au dhehebu linalofundisha waumini wake matusi
  10. JamiiForums Tanzania Gharama kubwa za uchapishaji wa stika za vinywaji za TRA chanzo bei kubwa za vinywaji nchini

    Wazalishaji wa vinywaji vikali na baridi Tanzania wanalipa zaidi ya shilingi bilioni 100 kwa mwaka kwa hizi stempu. Kampuni inayolipwa ni kutoka Ulaya (Uswisi) inaitwa SICPA. Hizi gharama ni kubwa ukilinganisha na nchi majirani, mfano Zambia ni robo ya hii bei. TRA wameshauriwa sana kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kilikua chanzo cha ugomvi wa Afande Sele na O Ten?

    Kipindi bifu limeiva Oten alimuimba Sele Kwenye wembo wa Mimi, Oten anaimba kwamba! Nilizaliwa Morogoro, hata siku nikifa maiti yangu iende Mor. Naweka wazi adui yangu asinizike, hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee. Kama vipi itupeni maiti yangu porini wale tai, muone mimi sifai. Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Xi Zhongxun (Baba wa Xi Jinping) chanzo cha Special Economic Zones(SEZ) in China 1980

    Upi ni mchango wa Mzee Xi Zhongxun( Baba wa Rais wa sasa wa China Xi Jinping ) katika uanzishwaji wa Special Economic Zones katika kukuza uchumi wa China? Shenzhen, a miracle that began in 1980 Forty years after its establishment as China's first special economic zone, Shenzhen has emerged as...
  13. JamiiForums Tanzania Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani. Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mbaya aliyewinda na kuua wanyama na wanadamu. Nimrodi pia...
  14. JamiiForums Tanzania Ni udongo gani ambao ukikaushwa unatumika kama chanzo cha nishati?

    Habari wana jukwaa? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo nikiwa naangalia mapokezi ya Rais Kagame wa Rwanda nchini, TBC walirusha kipindi flani cha historia kikionyesha ziara ya Mwalimu Nyerere nchini Rwanda enzi za Rais Habyarimana. Katika ziara yake hiyo, mwalimu alitembelea kiwanda...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi chanzo cha Kajala Masanja kupelekwa jela ilikuwaje

    k
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wanasayansi wamebadilisha Gia angani kuhusu nini chanzo cha uwepo wa maji Duniani

    https://www.yahoo.com/news/no-asteroid-impacts-needed-newborn-210053397.html
  19. JamiiForums Tanzania Chanzo cha uvunjifu wa maadili - Sehemu ya kwanza

    Leo Ponografia inazidi kubadilika. Profesa Gail Dines anaandika hivi: “Leo, picha zinazidi kuwa mbaya hivi kwamba ponografia iliyoonwa kuwa chafu sana imekuwa ya kawaida.” Wewe una maoni gani? Je, ni sawa kutazama ponografia, ni hatari, au huna msimamo wowote? Ni nini matokeo ya kutazama...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Yadaiwa kuwa sababu za vifo vya Mama na Mtoto kuongezeka Hospitali ya Bugando ni mgomo 'baridi' wa Madaktari Bingwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020. Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…