chanya

Ethiopian Airlines Flight 961 was a scheduled flight serving the route Addis Ababa–Nairobi–Brazzaville–Lagos–Abidjan. On 23 November 1996, the aircraft serving the flight, a Boeing 767-200ER, was hijacked en route from Addis Ababa to Nairobi by three Ethiopians seeking asylum in Australia. The plane crash-landed in the Indian Ocean near Grande Comore, Comoros Islands due to fuel exhaustion; 125 of the 175 passengers and crew on board, including the three hijackers, died. The only (partially) successful ditching of a wide-body airliner in history, the crash was captured on video.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  2. M

    Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  3. Kauli ya Diamond katika mtazamo chanya

    Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu. Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina kumbukumbu sahihi, awamu ya mkapa mmelalamika, awamu ya Kikwete mmelalamika, awamu ya Magufuli ndiyo...
  4. M

    Hiki ndio kirutubisho bora cha nguruwe chenye matokeo chanya

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  5. Kwa vijana wote wenye mtazamo chanya

    Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka kiakili, kiroho na kifikra—lazima uamue leo kuwa maisha yako yana thamani na kwamba uko hapa kwa kusudi...
  6. Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
  7. Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  8. Waza mawazo chanya

    Ikiwa unafikiria kila wakati juu ya shida, utapata shida zaidi.. Ukifikiria juu ya suluhisho, utapata nafasi zaidi. Hata kama kitu kinaumiza sasa, siku moja utaona kimekufanya uwe na nguvu zaidi. Watu huja katika maisha yako kwa sababu. Ama wanakusaidia, au unawasaidia. Usichukulie mambo...
  9. Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  10. H

    Hizi ni fikira chanya za manabii/mitume wa Kiafrika wasiokubalika nyumbani kwao AFRIKA,tuziweke hapa:-

    BOB MARLEY:- "How can you be sitting there Telling me that you care That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In every way, in everywhere Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!) We're the survivors Yes, the Black survivors" WAKE UP AFRIKA!
  11. Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  12. ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  13. Ulega Aitaka TEMESA Kuja na Tathmini Chanya Ujenzi Vivuko Vipya

    ULEGA AITAKA TEMESA KUJA NA TATHMINI CHANYA UJENZI VIVUKO VIPYA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana kwa jamii kutokana na ujenzi wa vivuko vipya sita vinavyoendelea kujengwa na...
  14. Naupongeza uongozi wa Simba kuchukulia chanya maoni ya Chasambi

    Radack Chasambi alionekana kutoa maoni yake juu ya mchezaji kioo kwenye ligi, Yeye Kwa mtazamo wake aliamua kumtaja Maxi Nzengeli kuwa ni mchezaji anayemvumtia na ana mtazama kama kioo na kufata nyendo zake Baada zilizo hoja kutoka Kwa wachambuzi na baadhi ya members humu Jamii forums...
  15. Mwenye kitabu Cha kunifanya niwe na mawazo chanya

    Wakuu nahisi Nina shida psychologically... Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii.... Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana
  16. Je, faida zipi chanya zinapatikana kwa kuoa zaidi ya mke mmoja?

    Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja. Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025. Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili. Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika...
  17. Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  18. Dini ina mchango gani katika maendeleo chanya au hasi ya nchi?

    Toa mifano kutoka katika moja ya nchi zifuatazo: 1. Iran 2. Vatican 3. Saudi Arabia 4. Marekani 5. Oman 6. Uingereza 7. Zanzibar 8. Tanganyika 9. Misri 10. Nigeria
  19. H

    SoC04 Mtazamo chanya kwa watu wenye ulemavu

    Jamii inatakiwa kubadili mtazamo dhidi ya watu wenye ulemavu. Kwani baadhi ya watu kwenye jamii zetu wanawachukulia watu wenye ulemavu kama kiumbe dhaifu.watu wenye ulemavu kwenye jamii wanoonekana kuwa hawawezi chochote kwenye jamii kitu ambacho sio sahihi Watu wenye ulemavu sio kwamba...
  20. C

    SoC04 Mabadailiko chanya katika Sekta ya Elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…