Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu.
Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...