chande

The chande is a drum used in the traditional and classical music of South India and particularly in Yakshagana theatre art of Karnataka. It follows the Yakshagana Tala system. The rhythms are based on pre-classical music forms that Karnataka Sangeta and Hindustani Sangeetha are based on. There are different varieties of this instrument; two major varieties being the Badagu Thittu Chande (Northern School) and the Thenku Thittu Chande (Southern School). The latter can also be spelled chenda and is used exclusively in the art forms of southern coastal Karnataka and Kerala. This article deals with Badagu Thittu Chande, used exclusively in Yakshagana of Karnataka. The chande used in Badagu Thittu is structurally and acoustically different from the chenda used in Kerala.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Inawezekana Samia aliwalenga zaidi ICC aliposema ripoti ya Jaji Chande ni mali ya Raisi na asitokee mtu wa kuidai

    Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania BAADA YA RIPOTI YA CHANDE, UPO UWEZEKANO WA CHADEMA KUFUTWA.

    Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa. Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani. Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya. Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua ya Umoja

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara.#RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Chande: Hatua Kuelekea Mustakabali Imara

    Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UCHAMBUZI: Maswali 10 Muhimu Kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande

    Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, ilikuwa na wajumbe wanane ambao ni: Dkt. Stergomena...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema unda team ya Kufanya SWOAT analysis ya Ripoti ya Chande

    Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al. Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chande sasa unaweza ukajifia maana huna la maana duniani. You are a spent force!

    Mwendo hujaumaliza bali umeunajisi. Ni heri kufa kuliko kuishi kufanya ubatili kama uliousoma jana mbele ya MUNGU wa Mbinguni. Heri kufa ukiwa na heshima yako kuliko kufa na aibu kama hii na hela nyingi bank! na mtumwa wa mtawala Muuaji.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jaji chande: Sababu za waliotekwa ni za nje ya siasa

    Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Vijana waliopewa mafunzo ili waanzishe Vurugu 500, waliouawa 518, Chande Sisi siyo vipande

    Umejaribu kubalance lakini hesabu zinakukatalia. Zaidi umejichafua tu kupalilia uongo.
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Madai ya kuwepo kwa makaburi ya Kondo hayakuweza kuthibitishwa

    "Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. Tume imefanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chande atuonyeshe angalau picha moja alopewa ya waandamanaji wa 29/10 waliobeba silaha za moto siku hiyo kama ushahidi, la sivyo anasema uongo

    Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto. Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake. Kama ni hivyo, basi hii tume ituonyeshe angalau picha moja ya waandamanaji wa 29 October wamebeba silaha za moto...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Umeenda kutoa ushahidi jinsi ulivyopoteza mpendwa wako, mara unamsikia Chande anasema ulilipwa afkumi kufanya vurugu😂

    Nacheka kama mazuri Wakuu ila daaah ni zaidi ya kupewa za uso😂🤣 Eti jamani, si hata Chande angesema mirioni mirioni angalau hata tungeshawishika kidogo🤣🤣. Kweli jamani mtu akarisk na kupigwa risasi kwa alf 10? Au ndo mshazoea mazombi ya sisiemu mnayowapa afsabasaba basi mkaona mkitutajia...
  17. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
Back
Top Bottom