chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hili, Clatous Chama ajitafakari, hakupata ushauri mzuri

    Kila mchezaji duniani kote ana ndoto na anaomba ajiunge na timu ambayo inashiriki mashindano ya kimataifa, ili acheze mechi za kimataifa kwa lengo la kujinadi kimataifa aonekane kimataifa ili apate timu zenye maslahi mazuri na mazingira bora ya kazi. Ona mchezaji mkubwa Clatous Chama wa Simba...
  2. JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti niliyoiona kati ya Chama wa Simba SC na Aucho wa Yanga SC ni hii tu ifuatayo

    Chama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata Kiu upesi huku Aucho akiwa ni sawa na Maji yanayokata Kiu na Kuimarisha pia Afya yako. Wote Wawili...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Kiserikali wa Rais Dubai, Shaka ana nafasi gani?

    Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu, Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika mkutano huu wa kibiashara? Mlinzi? Mwekezaji? Mfanyabiashara? Mjasiliamali? Machinga? Kangomba...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA dira yenu ya Chama ni ipi?

    Wanaukumbi. Ngorongoro, Burj Khalifa, Ukraine, Katiba, Zitto, Mwenyekiti, Jiunge Mnyororoni, Zelenskyy Kidume, kuichukua Zanzibar, Dokta Slaa, Royo Tua, Bunge la Space kila wiki, mbona kama mambo ni mengi sana mtaweza kweli kwenda nayo yote kwa pamoja pamoja na Katiba mpya huku kila mmoja...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

    Sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura. Tunauliza where is our pride? Maneno haya ni kinyume kabisa na kujiamini alipotupa Magufuli na...
  7. JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Mbeya City na Goli la Brentford dhidi ya Arsenal

    Jana wakati nafuatilia mechi ya Arsenal na Brentford nimeona mfanano mkubwa wa tukio kwa haya magoli. Hebu tutafakari na nafasi ya Waamuzi, maana sisi wa nje ni wepesi sana wa kuhukumu tukisahau kwamba tuna faida ya kurudia kuangalia tukio zaidi ya mara hata tano. Brent Vs Arsenal anzia dk ya 1:30
  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Sekretarieti ya Chama kwa Mikoa ya Zanzibar

    ZIARA YA SEKRETARIETI YA CHAMA KWA MIKOA YA ZANZIBAR. Leo tarehe 19/02/2022, Kaimu Naibu Katibu Zanzibar, Ndugu Salim Bimani ameongoza ujumbe wa Kamati ya Mashauriano ya Zanzibar ambayo ni Sehemu ya Sekretariati ya Chama Taifa katika ziara Maalum ya Kichama. Ziara hii ina lengo la Kutekeleza...
  9. 5

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yagawanyika, Lissu kukutana na Samia haikuwa ajenda ya chama

    Habarini watu wa ukumbi huu.., Vyanzo vya ndani vinasema hivyo, Tundu Lissu alikutana na Rais Samia kwa matakwa na maamuzi yake binafsi haikuwa ajenda ya chama wala hawakuwahi kukaa ata kwa dakika 5 kupeana mashauri juu ya kukutana na rais Brussels., Lakini vyanzo vilienda mbali zaidi baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  11. JamiiForums Tanzania Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

    Wanabodi nawasalimia... Kumekuwa na kumfananisha Clatous Chama na Fei Toto siku za hivi karibuni. Takwimu hizi hapa:
  12. JamiiForums Tanzania Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

    Kwema Wakuu! Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa. Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine. Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
  13. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  15. JamiiForums Tanzania Huku viongozi wa CCM wakizidi kutakata na kushereheke miaka 45 ya chama chao, Watanzania wanazidi kuteseka na umasikini

    Wananchi wakihangaika kupata Maji. Viongozi was CCM wanatakata kama dhahabu
  16. JamiiForums Tanzania Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

    Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside). Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti...
  17. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Chama cha Mapinduzi ni sikivu, kipo tayari kupokea ushauri wakati wote

    Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema kwa kipindi chote hicho CCM kimeendelea kuwa chama sikivu na makini kinachojali majadiliano kuliko vitisho, kebehi, ubabe au kushurutishwa. Amesisitiza CCM kipo tayari wakati wote kupokea...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TLS Chama cha Mawakili Tanganyika rasmi kimetekwa nyara na Mhimili wa Serikali Kuu

    02 February 2022 Dodoma, Tanzania SIKU YA SHERIA Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam walilolijenga kwa juhudi zao kama wanataaluma ni hatua mojawapo...
  19. JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

    Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika. "Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu ndio haya. Wenye nchi chukueni hatua

    Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini. Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…