The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitatoa bodaboda milioni moja kwa vijana kwa ajili yao ili wajiajiri.
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD
KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA
Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
Dkt. Bashiru Ally
Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru
Nguvu ya CCM na uwezo wake...
Sahivi wasanii karibia asilimia 85 ni CCM najaribu kuwaza tu Siku CHADEMA, CUF, ACT wakaTakeover wataendelea kuipambania CCM kama sasa? au watakuwa kwa wenye madaraka kwa wakati huo.
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya vyama vya upinzani vyote wanapeleka watu wao na wengine ni usalama wa taifa wanakuja kama raia...
Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa.
Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka.
Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana.
Etc
Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya...
Chama cha NRM nchini Uganda kimemteua Rais Yoweri Museveni kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu wa Januari mwakani, hatua itakayompa nafasi ya muhula wa saba. Museveni mwenye umri wa miaka 80 alichukua madaraka mwaka 1986 na tangu hapo ameshinda chaguzi zote baada ya kuondoa ukomo wa mihula...
Hii sarakasi aliyofanya Msajili wa vyama vya siasa nchini la kumkata mgombea uraisi wa ACT Wazalendo kwa kutumia katiba na kanuni za chama hicho, mbona ni rahisi tu kwa wao ACT Wazalendo nao kuicheza hiyo sarakasi.
Katiba na kanuni za chama ni mwongozo wa mkutano mkuu wa chama husika kwa...
Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali.
Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
Hakuna haja ya kuongeza sauti. Ndiyo huku kwetu tunakuta hata kama ulipata kura 90%, tunamleta aliyepata 1%.
Kisha hulalamika, na unaomba wajumbe wako waunge mkono zile 1%.
Ee ndo hivyo bana, utafanyaje sasa. Hata kukaa kimya huruhusiwi.
Salaam nyote,
Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda.
1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k
Wengi walioachwa wananung'unika kuwa tumekijenga CHAMA kwa jasho na machozi ,Fedha lakini watu wamevuka tu...
Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.
Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi
Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu.
Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa...
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 21 Agosti, 2025, kwa ajili ya kufanya uteuzi wa Wagombea Ubunge wa Bunge la Jamhuri ya...