chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: CHADEMA ndicho chama kinachozuia Upinzani kuingia Ikulu. Watanzania tujitathmini kabla ya 2025

    Habari JF, Kuna kitu hakiko sawa katika siasa za Tanzania. Kama ilivyo kwa viongozi na wanachama wakongwe wa vyama vya upinzani wengi wao walitoka CCM. Kwa kipindi hicho kuunda kwao vyama vya siasa ilikuwa ni kuhakikisha kuna mfumo wa vyama vingi na SIO KUCHUKUA NCHI, hivyo viongozi hao...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA iheshimu protokali, ni "insubordination" kwa Lissu kuongea muda mwingi wakati Mwenyekiti wa chama yupo. Ugombea Urais ulikoma aliposhindwa

    48 LAWS OF POWER. Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari. Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu. Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu. Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CCM watatema ndoano au watakubali kunaswa na hoja za wapinzani?

    Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa nimetambua kuwa Chama ni watu. CCM ipo mikononi mwa watu wabaya wasiokuwa na huruma

    Angalia hali ya maisha inayowakabili wananchi wa kawaida ilivyo. Kupata mlo mmoja kwa siku ni tabu. Lakini waziri wa kilimo anaona sawa tu kuuza mazao ya chakula holela nje ya nchi bila udhibiti. Angalia hali ya maisha ilivyo ngumu tozo za kila namna zinawaathiri watanzania wa hali ya chini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu kocha kwa kumtoa Chama ni kuikosea heshima taaluma yake

    Kila kocha uwa anao mfumo wake na aina ya wachezaji anaowataka kwenye mfumo husika, kitendo cha kumtoa chama kocha ameona aendani na kile anachokitaka hasa kasi kati kati ya uwanja, uyu kocha inaonekana ni muumini wa soka la kasi ndio maana amewakubali kina kibu denis wakati mashabiki...
  10. JamiiForums Tanzania Nisaidie kifupi cha hiki chama: Chama Cha Matajiri na Masikini

    Asalaam! Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha Matajiri na Masikini. Ni hayo tu natanguliza shukrani Wadiz.
  11. JamiiForums Tanzania Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  12. JamiiForums Tanzania Sabaya atatolewa gerezani, akina Halima Mdee wataondolewa ubunge na kuanzisha chama kipya ama kuelekea ACT Wazalendo

    CCM ni chama chenye mbinu 100 za kuendelea kubaki madarakani wapo wanachora Michoro na ramani ya uhakika ya kuhakikisha kuwa wanaendelea kubaki madarakani plan A wamekamilisha ni plan ya kuwarubuni Chadema. Chadema wanechanganyikiwa hawajui mwenyekiti wao ameuza chama kwa shilingi ngapi lkn...
  13. JamiiForums Tanzania Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

    Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia walimshauri asifanye maridhiano na CHADEMA?

    Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli mwaka 2025 Rais Samia atapata wapinzani ndani ya chama?

    Ni swali tu na mara nyingi ikifikia Muda huo wanasiasa hucharuka. Hapo awali ilikuwa hivi Ili mgombea ndani ya chama auzike kwa wananchi anakuwa yule mwanasiasa aliyendani ya serikali na akafanyakazi na wananchi wakamkibali. Kwa mfano. Wkt flan kikwete alipendwa sana japo serikali alipewa...
  18. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa mpira wa miguu anzisheni chama cha kutetea haki zenu

    Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi. Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki za wafanyakazi husika. Upande wa waajiri umekuwa na nguvu ya kuamua malipo na mustakabali mzima wa...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu chawa anapenda kukinanga sana Chama chetu. Anaishi kwa uchawa usio na mashiko

    Ona sasa 👇
  20. JamiiForums Tanzania Bishoo wenu nje

    Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA. Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele. Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…