chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Chama na wachezaji wenzako waandamizi wa Simba SC, hamjachukua hongo kweli ili mcheze chini ya kiwango?

    Kiwango alichokionesha Chama, kiungo Punda pamoja na beki za pembeni za Simba zinanipelekea nihisi kuwa kuna umafia mkubwa sana umefanyika kuelekea katika hii mechi ya nusu fainali ya kombe la shirikisho la Azam. Kuna kila dalili ya wachezaji tajwa kuonesha kuwa wamecheza chini ya viwango vyao...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Tafuta pesa

    Hii ni kauli ambayo imekuwa ikitrend sana tokea mwaka jana Hadi Leo huku ikifanya wengine wajikwamue na wengine bado wasipate njia za kutoka. Binafsi nimegawanya katika njia mbili, 1: WATU WENYE AJIRA 2: WATU WASIO NA AJIRA 1: WATU WENYE AJIRA. Binafsi nimekuwa mmoja wa mashuda katika hili...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta afukuzwa Uenyekiti wa Chama cha Jubilee

    Uamuzi huo umefanywa na Upande wa chama hicho unaoongozwa na #KaniniKega baada ya Kikao kilichofanyika leo Mei 2, 2023 na kimemteua Mbunge, Sabina Chege kushika nafasi ya Mwenyekiti mpya. Kwa mujibu wa Kega ni kuwa uongozi wa Rais Mstaafu #UhuruKenyatta ulikoma Machi 2023 na hivyo Katiba...
  7. JamiiForums Tanzania Chama na kipa Ally ndio walioiondosha Simba mashindanoni

    Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi, uongozi wa Simba, Chama na Ally Salim. Wydad waliokolewa na golikipa wao kudaka mikwaju 2 iliyopigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna CHADEMA kama chama cha siasa au ni chawa wa chama kilichopo madarakani?

    Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄. Binafsi, napatwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Sina Deni na Wachezaji wa Simba SC hata kama Kapombe na Chama Wamekosa Penati zao

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
  10. JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

    Habari zenu wakuu, Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  12. JamiiForums Tanzania Sumaye: Tusifurahie Bunge la chama kimoja

    Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali. Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Sarakasi za Deus Seif na Abubakari Alawi kukisambaratisha Chama cha Walimu Tanzania

    Watajwa hapo juu, Deus Seif aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT na Abubakari Alawi aliyekuwa mwekahazina wa taifa wa CWT mnamo tarehe 28 Juni 2022 walitiwa hatiani na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la uhujumu uchumi, Uchepushaji wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka. Katika hali...
  14. JamiiForums Tanzania Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
  15. JamiiForums Tanzania Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

    Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema. Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Diamond kujiunga CHADEMA mwaka 2024 na 2025 kugombea Ubunge kupitia chama hicho

    Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani. Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kama Samia atagombea urais 2025 awekewe zuio yeye na chama chake wameanza kampeni za urais mapema. Mabango mengi hadi KERO!!

    Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha kuanza Kwa kampeni. Nashauri wagombea wenzie wamuwekee pingamizi wakati ukifika.
  18. JamiiForums Tanzania Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

    Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka. Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
  19. JamiiForums Tanzania Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  20. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Msemaji wa Chama cha Upinzani apigwa faini kwa kusambaza taarifa za Uchochezi

    Mahakama Nchini Zimbabwe imemtoza Fadzayi Mahere ambaye ni mwanasheria na mwanachama wa Chama cha Wananchi (CCC), faini ya Dola za Marekani 500 (Tsh. Milioni 1.17) baada ya kumkuta na hatia ya kusambaza taarifa zilizotajwa kuwa ni uongo kupitia Twitter. Mahere alikamatwa miaka miwili iliyopita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…