chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

  2. D

    Kama siyo kukihujumu chama kimaridhiano, nitakuwa wa mwisho kuamini Lema na CHADEMA wana ajenda ya kuifuta Bodaboda

    Sikutaka kuchambua hili, sikutaka kuchambua kwasababu namheshimu sana Godbless lema! Nikiongozi mzuri na amekuwa na maono mengi mazuri! Pamoja na yote hayo! Namna Lema alivyoanzisha kampeni ya kupinga bodaboda na vikoba kakengehuka kidogo! Anayo nia njema kabisa kiufupi ingekuwa ni wimbo basi...
  3. Naona kuna Mkakati wa kum-underestimate Zitto Kabwe na ACT Wazalendo. Ni kama wamemdharau

    Why linapokuja suala kubwa la upinzani ni CCM na CHADEMA tu? ACT Wazalendo ni kama haipo kabisa. Lengo ni nini? Tunamuona Rais na Mbowe kila wakati. Wakizungumzia upinzani na siasa ni ccm na chadema tu. Je ni makusudi kumdogosha Zitto au zitto junior na akina Zitto wengine? Au bado zile pesa...
  4. Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
  5. N

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  6. Mbowe jitafakari ni muda wa kuachia Madaraka kwenye Chama chako, onesha Mfano

    Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini? Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo wa urais ili atawale kwa amani bila bugdha, Mbowe muachie Lissu aongoze Chama nitawapa mbinu...
  7. DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  8. Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

    Ndugu wadanganyika wenzangu, Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo; 1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi. 2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya...
  9. Rushwa yavuruga Uchaguzi wa Mwenyekiti mpya TLP

    Uchaguzi wa kuziba nafasi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, marehemu Augustine Mrema, umeshindwa kufanyika leo Machi 6, 2023 kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa viashiria vya rushwa, maelewano mabaya baina ya wagombea. Machi 5 Halmashauri Kuu ya TLP ilipitisha majina ya wagombea watano...
  10. Tusidanganye umma kuwa na bunge la kuikosoa serikali mpaka wapinzani wawe bungeni. Huko nyuma bunge la chama kimoja liliisimamia serikali vyema

    Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania? Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja. Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu. Mnadai kuna demokrasia...
  11. Mbowe kuhusu kumpokea Dkt. Slaa: Walioondoka kwa kukidhalilisha chama watafute uungwana wakati wa kurudi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho: “Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio...
  12. Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  13. Uhakiki wa Wanachama Chama Kipya Cha Siasa 1993

    WANACHAMA WA CHAMA KIPYA CHA SIASA WAMEKUJA KUHAKIKIWA NA MSAJILI WA VYAMA ARNAUTOGLO HALL 1993 Asubuhi na mapema tulikuwa tumeshafika Ukumbi wa Arnautoglo tumekuja kuhakikiwa kwa ajili ya chama chetu kipya cha siasa. Ukumbi huu una historia kubwa sana katika siasa za kudai uhuru wa...
  14. Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  15. Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti. Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
  16. R

    Ukitazama Mkuta wa PM majaliwa Wiki iliyopita na Wa jana wa Mbowe Tunduma utadhani Chadema ni Chama tawala

    Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala. Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
  17. Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  18. Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  19. Hukumu ya ufisadi wa Deus Seif na Abubakari Alawi kutolewa 10 machi, 2023. Walimu na wanachama CWT wasubiri kwa hamu

    Kama inavyofahamika, watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa chama cha walimu Tanzania, Deus Seif akiwa katibu mkuu na Abubakari Alawi akiwa mweka hazina wa Taifa. Walishtakiwa na Jamhuri (TAKUKURU) Mei 2021 kwa kesi ya uhujumu uchumi, wizi wa fedha za walimu na matumizi mabaya ya madaraka...
  20. Zitto zuber kabwe na chama chake ndie pekee ameonyesha ana hoja za msingi!! Wengine ni visirani na makelele TU !

    Tumeona uzinduzi wa kampeni za vyama pendwa vya siasa! Chadema wameanza ,wakaja cuf na kumalizia na act wazalendo!! Nilichojifunza ni kwamba act wazalendo wanakaa chini na kuandaa hotuba zao !! Utaona kuanzia msemaji wa kwanza mpaka wa mwisho hoja zao zimepangiliwa na zinaeleweka sana ! Zinagusa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…