The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".
Kwema Wakuu!
Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama
Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria...
Naamini mzee mbowe ni mzee mwenye maono makubwa sana.
Kwa busara zake nashauri apate ushauri mwingine kutoka kwa wazee asigombee amuunge mkono Tundu lissu kama baba mlezi wa chama!
Chadema ni mtoto aliyezaliwa na mgumba na kutelekezwa matunzo;
Mbowe ni mama mzazi wa mtoto na Tundu lissu ni...
Wakuu....
Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama.
Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa...
Chama cha Chadema hakina heshima kwa viongozi wake, kinataka kumwondoa Mh Mbowe kihuni bila kujali mchango wake mkubwa ndani ya Chama hiki, Mbowe alitakiwa kustaafishwa kwa heshima kubwa
Mh Mbowe amejenga Chama kwa gharama kubwa ya fedha na Wanachama kwa zaidi ya miaka 30 historia hii ni kubwa...
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.
6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.
Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama
(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za...
Kwa nini pale tu Lissu alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndipo anapoonekana anataka/anakipasua chama?
Yeye ni makamu Mwenyekiti, nani alimchagua kuwa makamu Mwenyekiti ili aje kukipasua chama?
Watu waache unafiki.
Mwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.
Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea...
Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe.
Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
Nimeona viongozi wote wa mikoa wa chama cha demokrasia na maendeleo wamepiga kambi kwa Mbowe wakijiapiza kumuunga mkono, naona Mbowe kafunga hesabu, uchaguzi umekwisha.
Lissu anazurura peke yake tu na makaratasi mkononi
Hello!
Natumai mu wazima!
Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi.
Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
Kama wewe ni kiongozi katika chama cha siasa au taasisi yoyote kubwa na chini yako kuna wafanyakazi wengi kufikifi kuwa bila wewe kampuni au chama kitakufa basi wewe ndio utakuwa tatizo katika hiyo taasisi.
Kiongozi mzuri ni yule anayeandaa watu kuwa viongozi anajua kuna kufa, kuugua...
Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
Friends and Our Enemies,
Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao.
Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu...
Haya maajabu au dharau kwa watanzania?
Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania.
Tutafakari!
Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.