chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  3. JamiiForums Tanzania Walimu 56 wakihama chama cha CWT Kilindi Tanga

    Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri. "Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari...
  4. JamiiForums Tanzania CCM kama hamtaki kukosolewa vunjeni chama chenu

    Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu kupitia vyama vya siasa.
  5. JamiiForums Tanzania CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

    CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi. Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
  7. JamiiForums Tanzania Heche: Ni kweli hakuna upinzani, CHADEMA ni chama kikuu cha siasa nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amemjibu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Paul Chacha, akisema ni kweli Tanzania hakuna upinzani kwani CCM imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa na kuwa genge la Dola lililojivalisha nguo za chama hicho. Chacha aliitoa kauli hiyo Agosti...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndio sura mpya ya chama cha democrat huko marekani

    Mdada wa kisomalia mjihad na ana support vikundi ya kigaidi Jamaa wa kiarabu, mkomonisti anaepinga marekani na kumsifia china Mwingine huyo kutoka asia, ana support ushoga wa kuvuka mipaka na kuruhusu wanaume trans kuingilia michezo ya wasichna pure US is cooked, soon magharibi wataona moto...
  9. JamiiForums Tanzania Unawezaje kukiita chama kilichosajiliwa kihalali kama chama fake?

    Napita pita huko kwenye mitandao najionea muujiza tu,viongozi mbali mbali kuvituhumu vyama vingine ya kuwa ni fake, huku vikiwa vimesajiliwa kihalali kabisa na kwa kufuata taratibu zote sawa na wale wanaotuhumu wenzao, nikatafakari je kwa kuvituhumu vyama vilivyosajiliwa ya kuwa ni fake je hii...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwashtaki wanaokichafua chama hicho

    Dickson Matata Mwanasheria wa CHADEMA na mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya magharibi, kanda inayojumuisha mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora amesema kuwa CHADEMA itawashtaki wanaojifanya wanachama wa chama hicho wakati sio. Pia amesema atamshauri Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Asante Samia kwa kukuza Chadema na kufanya kiwe chama cha Watanzania wote

    Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM chaweza kuwa chama bora endapo kitashindana na kushinda kwenye box la kura

    Sio kwamba CCM kimepoteza imani kwa wananchi kwa kiasi hiki la khasha CCM kimebweteka baada ya kujitoa kwenye chama cha siasa na kuwa chama cha kidola Tunaihitaji CCM inayopenda kushindana na ili ishinde au ishindwe Hatuitaku CCM iliyojigeuza kuwa dola na kuviamrisha vyombo...
  15. JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  16. JamiiForums Tanzania Makamanda msiwe na wasisi Tunaenda kumwaga mboga siku ya Baraza kuu la. Chama September 15

    Makamanda Peoples!!!!! Wale wote wanaochukizwa na Ufisadi ndani ya CHADEMA msife moyo sasa agenda yetu itaingia kinguvu siku ya Baraza Kuu la Chama kwa sasa tutulie hiyo 334Milion itimie tukisha safiri kwa umojq wetu tutapenyeza agenda ya ufisadi wa makamo mwenyekiti wetu. Baraza Kuu la Umma...
  17. JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT Mwenzao huyo ni nani ?
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

    Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa? Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi...
  19. JamiiForums Tanzania Uovu wa viongozi wa CCM aliousema Polepole ndio sababu ya CHADEMA kukubalika kama chama cha ukombozi.

    Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai. Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa. CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
  20. JamiiForums Tanzania Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…