chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. loose Nut

    Kwanini FIFA inawanyima uwana chama Zanzibar na Catalonia

    Licha ya Zanzibar (Tanzania) na Catalonia (Uhispania) kuomba sana uwana chama FIFA zimekataliwa kabisa. Cha kushangaza FIFA imewapa membership Nothern Ireland, Wales, Scotland (UK), Greenland na Faroe Islands (Denmark), Taiwan na Macau (China), New Caledonian, Tahiti (France), Guam, American...
  2. K

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
  3. W

    Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  4. Hance Mtanashati

    Chama cha madaktari Tanzania kipige marufuku wasio madaktari kutumia sare zao

    Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu. Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much. Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
  5. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  6. JanguKamaJangu

    Taarifa rasmi ya CUF kuhusu Msajili kutengua matokeo ya Viongozi wa Chama hicho chini ya Prof. Lipumba

  7. Just Pray

    Askofu Bagonza: Chama hufa kikianza kufikiri hakitakufa. Kama kimeanza. Wanachama waandae rambirambi

    VILIVYOUMBWA HAVINA U-milele! Nimetoka kanisani. Watu walifunga ndoa nyingi jana. Leo wamekuja wachache. Nimekuta Gen Z Masalia wamejaza simu yangu kwa maswali yaliyoibuliwa na Gen Z mwenzao anayedai kuna chama kitaishi milele au mpaka mwisho wa dunia. Wanataka kujua nina maoni gani? Nasema...
  8. Tlaatlaah

    Huenda angekuepo hayati Chacha Zakayo Wangwe Chadema kingekua chama cha siasa cha kizalendo kuliko hivi kilivyo sasa kimesheheni vibaraka na mamaluki.

    Ni wazi sura na taswira ya Chadema kwa sasa inajionyesha wazi kwamba ni kichaka cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi, wanaokusudia kuvuruga umoja, amani na mshikamano miongoni mwa waTanzania kwa maslahi ya hao mabwenyenye ya magaharibi wanaowafadhili chadema na kuwafadhili...
  9. Genius Man

    Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?

    Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri? Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
  10. Mohamed Said

    Channel Ten na miaka 49 ya Chama cha Mapinduzi

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY
  11. Mohamed Said

    Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    https://youtu.be/nVH5swbaWcY?si=dQIHSpvr8AhjE2IU
  12. Genius Man

    Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta

    Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta. Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
  13. I

    Nilikuwa nimesahau kama leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mazinduzi (Februari 5)

    Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini. Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo. Oktoba 29 haisahauliki. Anaesema tusiongelee akapimwe akili.
  14. Inside10

    Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  15. Rijali jandoni

    2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  16. N

    Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  17. JanguKamaJangu

    Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  18. Mshana Jr

    Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  19. R

    Kihongosi: CCM ni chama pekee kinachohubiri amani

    "Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija hapa tutasema tusipoteze tunu ya amani yetu, huwezi kusikia tukiongea vinginevyo. Chama hiki...
  20. Narumu newz

    Kwani mbunge wa CCM akifia madarakani lazima mtoto wake abebwe jimbo husika?

    Chama cha Mapinduzi ni chama cha siasa, lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia kutokana na historia inavyojionyesha huko nyuma, Kuna baadhi ya Wabunge wake waliofariki kwenye majimbo yao na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao. Mf; Omary Abdallah Kigoda - Handeni Salum Turkey -...
Back
Top Bottom