chalamila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania RC Chalamila asema atamchukulia hatua za kisheria FR. Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji

    Mkuu wa mkoa Dar es salaam ameagiza polisi na wanasheria kumhoji Kwa kina na kisha kumfikisha mbela ya sheria Fr Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji Tukumbuke Fr Kitima alisema kuwa kuwa Tanesco walizima umeme maksudi ili avamie na kujeruhiwa Hii imetushangaza RC Chalamila kumchukulia...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Biti la RC Chalamila kwa Fr. Kitima ni kutekeleza maagizo ya kumuua kushirikiana na kikosi toka Mwanza?

    GTs, Nimeona Maria Sarungi akimtahadharisha Fr. Kitima kuwa kuna askari polis wanne wametumwa na Samia kumuua Fr. Kitima, na hii inaendana na biti la RC Chalamila kusema anaunda kikosi kazi kumchunguza Fr. Kitima kauli yake. Maana yake RC chalamila alivyo boga anategemea amuite Fr. Kitima ili...
  3. JamiiForums Tanzania Chalamila, Kabla hujamkamata KITIMA ,Tuambie Aliyetaka Kumuua Kitima, Polisi ikasema inachungaza, Kesi imefikia wapi?

    Hao Mlokaa kupanga namna ya Kumuua Kitima wamo waroman. Huko Tanesco pia Wamo Waromani. Funga Domo lako kubwa Kaa kimya, Jiandae Dec 9 Unatembelewa !!!.
  4. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampiga za uso Nabii Bashando, umeingia kwenye anga za mtoto wa Mungu utakufa hivi karibuni

    Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii Sasa kilichotekea ni hivi ====== Post ya juu (nabii_bashando): “Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo nimemaliza…. Ujumbe nilioupata ni juu ya huyu nabii wa CHADEMA kwamba atengeneze mambo ya nyumbani kwake...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Polepole alikuwa Balozi, mimi kama mkuu wa mkoa sijui alijiuzulu akiwa nchi gani

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Chalamila amesema hayo leo Ijumaa, Desemba 5, 2025 wakati akijibu...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Tutachukua hatua kwa tuhuma za Padri Kitima, kuhusu TANESCO kuhusika kwenye shambulio dhidi yake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Watu wamejengewa chuki na nchi yao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuna watu wanawajengea chuki Watanzania na nchi yao ambayo tumeona kuna athari zimejitokeza tena kwa vijana wadogo sana. Albert Chalamila amezungumza hayo leo na Wanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji #NIT
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kulihutubia Taifa kupitia mkutano wa wazee wa Dar es Salaam kesho Desemba 2, 2025

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa. Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chalamila atuma ujumbe mzito kwa waliosema watakata watu vichwa

    24 November 2025 RC ALBERT CHALAMILA MKUU WA MKOA WA DSM ATUMA UJUMBE MZITO KWA WALIOSEMA WATAKATA WATU VICHWA https://m.youtube.com/watch?v=Gv-JhuTHmN4 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inayokusanya wajumbe kutoka jeshi la polisi...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: Vijana wachache ubungo wamejaribu kufanya vurugu ila tupo imara kuliko jana

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza kuwa hali ya amani na utulivu inaendelea kuimarishwa jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa vurugu kidogo zilizojaribu kutokea katika eneo la Ubungo, zimedhibitiwa
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila "maandalizi kuelekea oktoba 29 yamkamilika" |ahimiza wananchi kupiga kura

    Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura. RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Mtoa huduma wa mabasi ya mwendokasi Kimara tunamsimamisha

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa mabasi. Katika ziara hiyo, Mhe. Chalamila amesema serikali inatambua changamoto hiyo na tayari...
  17. JamiiForums Tanzania Chalamila atimiza ahadi yake ya gari kwa golikipa Yacoub

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akimkabidhi zawadi ya gari golikipa wa Timu ya Taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Yacoub Mohamed, aliyoahidiwa wakati wa mashindano ya CHAN.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: RC Chalamila kusema 'Mtoto wa kiume kuuza uduvi utaolewa', si kauli ya kiuongozi bali kihuni

    Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa Rais kwenye mkoa. Kauli zake zinatafsiriwa kama dira ya serikali, hivyo lazima ziwe na mizani, heshima na kuzingatia sheria. Kauli ya kumdhalilisha kijinsia au kitamaduni kijana wa kiume anayejishughulisha na biashara ya halali (kama uduvi) inaweza kuchukuliwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani. Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi wa Serikali? Toeni neno moja kwake! Full clip hii hapa...
  20. JamiiForums Tanzania RC Chalamila atoa Mil. 100 kuwasaidia Wafanyabiashara wa Kawe baada ya Moto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amefika kwenye soko la Kawe ambalo limeteketea kwa moto jana usiku na kuahidi kuwapa wafanyabiashara Shilingi Mil. 100 kama sehemu ya kufidia sehemu ya hasara waliyoopata
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…