chakula

  1. JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ada za Vyuo/shule, Chakula kupanda maradufu!

    Tozo na bei mpya ya mafuta itapandisha kila kitu zikiwemo stationeries, ada. Punde tutaongea lugha moja!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mafisadi hudanganya wananchin kwa chakula na peremende. 2025 wapigwe chini.

    Msikubali kudanganyila kwa misosi na jojo za kutafuna.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba gani nyingine ya kutusaidia tukipatwa na majanga Zaidi ya akiba ya chakula na akiba ya fedha za kigeni?

    Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka. Sijawahi kusikia tukisifia kiasi cha akiba cha mafuta ya nishati ambacho serikali inacho. Tunajua kwamba...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uvivu wa wananchi na bunge ni vya kulaumiwa kwenye bei ya chakula

    Utamaduni wa uvivu ndiyo umesababisha tatizo kubwa la bei ya Chakula. Hakuna sababu ya Tanzania kuagiza mbolea, ngano, mafuta ya kupikia na sukari. Uvivu huu sio kwa Tanzania nzima lakini mikoa ya pwani, kati na mashariki inaongoza kwa uvivu. Vijana wanataka kukaa mijini tu bila shughuli wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Aamua 'Kukojolea' Kitoweo (Mboga) baada ya Kunyimwa Ugali (Chakula) makusudi na wana Familia wake

    Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake. Yaani Mimi ndiyo Baba...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

    Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  10. JamiiForums Tanzania Putin: Vikwazo vya Magharibi vimepelekea janga la chakula duniani

    Rais Vladimir Putin amesema Urusi inalazimika kuangalia kwa karibu mauzo yake ya chakula kwa nchi zisizo rafiki kwani vikwazo vya Magharibi vimechochea janga la chakula duniani na kuongezeka kwa bei za Nishati. Vikwazo vya Nchi za Magharibi kutokana na uvamizi wa Putin mnamo Februari 24, 2022...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
  12. JamiiForums Tanzania Poland: Jiji la Lublin lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine

    Kwa mujibu wa BBC Jiji la Lublin ,Poland lenye wakazi 350,000 lasifiwa kwa kuwahifadhi na kuwatunza kwa kila kitu vizuri wakimbizi 40,000 toka Ukraine Wamewapa wakimbizi makazi mazito,chakula mavazi na wameamua kuwa wabaki tu kwenye jiji lao wataishi vizuri tu Dar es salaam tuko zaidi ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DW: Tishio la baa la njaa Nchini Kenya, Twiga wafa kwa kukosa chakula, zaidi ya robo tatu ya mifugo imekufa kwa kukosa chakula

    Shirika la Habari la Deutsche Welle (DW) Limetoa taarifa ya ukame na tishio la njaa linaloikumba nchi ya Kenya. Katika taarifa hiyo, imeonyesha idadi kubwa ya Twiga waliokufa kwa sababu ya ukame uliosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Taarifa hiyo imesema pia mifugo mingi haina chakula na...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa chakula bora pamoja na chanjo kwa nguruwe ili wakue upesi

    Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje kunipa backup hayo majike yakiza pamoja na pesa ya ukuzaji wa mabanda. Je, niwape chakula gani ili...
  15. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
  16. JamiiForums Tanzania Kukosekana Utulivu wa Kisiasa na kupaa kwa bei za vyakula duniani

    Bei za bidhaa za kilimo zimekuwa zikifuata mwelekeo wa kupanda kwa sababu ya mwitikio wa serikali duniani dhini ya Covid-19. Bei hizo zilipanda kutokana na vikwazo vya kuuza chakula nje kwa baadhi ya nchi. Lakini mzozo wa sasa kati ya Urusi na Ukraine umepeleka bei kwenye viwango vipya na vya...
  17. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: $ 1bn zatolewa kuzuia uhaba wa chakula barani Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuchangisha $1bn (£759m) katika muda wa wiki moja kusaidia uzalishaji wa kilimo barani Afrika na kulinda bara la Afrika kutokana na uhaba wa chakula unaotokana na uvamizi unaoendelea wa Urusi nchini Ukraine. Nchi nyingi za Kiafrika zinategemea...
  18. JamiiForums Tanzania Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Watu 160,000 hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula Yemen

    Mashirika ya misaada kadhaa ya Umoja wa Mataifa yamesema watu wapatao 160,000 wamo hatarini kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula nchini Yemen. Ripoti ya mashirika hayo juu ya hali hiyo ya kutisha imetolewa kabla ya mkutano wa wafadhili utakaofanyika hapo kesho. Umoja wa Mataifa umetayarisha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Mambo ya Assassination of Archduke Ferdinand yanaenda kujirudia Tena ..Just mark my words. Nunueni chakula Kwa wingi wekeni ndani. Mtakuja kunikumbuka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…