Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo yahusuyo kazi hii inayokusudiwa kuanza, sote tutakuwa tumepata uelewa wa kutosha, na haitakuwa tena...
Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja.
Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi...
Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi.
Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini.
Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
Habari za muda huu watu
Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu.
Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa.
Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
Sasa chaguzi zinafutwa hovyo
=====
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kutokana na kukiuka Katiba, Kanuni na taratibu za uchaguzi.
Hayo yamesemwa leo Jumanne Septemba 27, 2022 na Katibu wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi.
Chanzo...
Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi.
Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD
Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
Habari JF
Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu.
Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura
Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na...
NILICHOKIPENDA BAADAA YA KUKISIKIA KENYA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2022.
Ukweli na uwazi pamoja na matumizi ya teknolojia (mtandao)
Duniani kote hakuna siasa safi inayoizidi hile ya ukweli na uwazi, hapa nchi Cambodia tumekuwa waumini wa maneno mazuri kuliko kuyaweka kwenye matendo.
Ukweli na uwazi...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza Agosti 29, 2022 kuwa tarehe mpya ya uchaguzi ulioahirishwa kutokana na sababu tofauti ikiwemo kukosekana kwa majina ya wagombea katika karatasi za Kura
Vile vile, Tume hiyo imewaruhusu Wagombea wanaowania nafasi mbali mbali katika maeneo hayo...
99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini.
Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani...
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili.
Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro.
James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.