chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    PreGE2025 Tuongee uhalisia: CHADEMA wanaweza zuia uchaguzi kweli? Mrema yupo sahihi. Lissu ashauriwe

    No election no reform ni idea haitekelezeki. Je Lissu halijui hili, Je ameshindwa kutumia kutumia busara kuondoa huu mtanziko. Hivi lissu kiakili za uongozi anazo kweli, akisusia uchaguzi atapata nini? Ukimsikiliza Mrema ana hoja utazuiaje uchaguzi wakati Huna hiya mass. Watanzania wenyewe...
  2. PreGE2025 G55 ( Chadema Asilia ) Vs Wanaharakati

    Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa kutoshiriki hata msiba unaomhusu Freman Mbowe na Injinia wa Mpango Huu ni Mchaga Godi Lema kwa madai...
  3. Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless

    Nimesikiliza hoja za G55 nimegundua ni pointless, uongozi wa CHADEMA ondoeni hii aibu kwa kuwafuta hawa wahuni Sikujua kama Mrema angezungumza makapi kama haya, nilidhani ana hoja za msingi kumbe ni pointless Mrema ameonesha uma kiasi gani hafanani na elimu aliyopata chuo kikuu Anatia aibu...
  4. PreGE2025 Ogopa teknolojia! Toka 2020 walisema bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi, Udikteta wa Lissu unatoka wapi? Kusimamia maono ya chama?

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga huko, mtifuano juu ya mtifuano😂😂. Leo kwenye press ya CCM B a.k.a G55 Mrema alisema kaulimbiu ya No Reforms ilianza toka 2020 lakini haikuwa na kipengele cha No Election. Akisema haya ni mambo ya dikteta Lissu anayewanyima na kuwatishia uhuru wao wa kujieleza...
  5. PreGE2025 CHADEMA Tabora: Sisi tutaendelea kuwatambua hawa G55 kama ni wasaliti kwa mujibu wa Katiba ya Chama

    Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
  6. PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

    Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye...
  7. PreGE2025 Lissu: Kuna haja ya kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antiphas Lissu amesema kuwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa muda mrefu wamekataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi hivyo kwa sasa wanalazimika kufanya maamuzi magumu ili kulazimisha mabadiliko. Kupata matukio na...
  8. Utii wa CCM Vs Ujasiri wa CHADEMA

    Katika siasa za Tanzania, vyama vya CHADEMA na CCM vinaonekana kuwa na Mkazo na mitazamo tofauti kuhusu ujasiri na utii kutokana na malengo, misingi, na itikadi zao. CCM (Chama Cha Mapinduzi) kikiwa chama tawala, kimejikita zaidi katika dhana ya utii, huku CHADEMA (Chama cha Demokrasia na...
  9. PreGE2025 Tundu Lissu apokelewa kwa furaha na Vifijo Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA?

    Tundu Lissu apokelewa kwa furaha Nachingwea. Je, ni ngome ya CHADEMA? Hakika CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani. CHADEMA wanaendelea kutoa elimu ya No reforms no Election kanda ya kusini.
  10. PreGE2025 Huu mwaka mgumu sana kwa CHADEMA, kitatoboa kweli?

    CHADEMA inapitia tanuru la moto mwaka huu, 1. No reforms, no election bado haijaeleweka. 2. G55 wanataka kukipasua chama 3. COVID-19 wanataka kurudi 4. Uchaguzi mkuu uko njiani, tume wanaendelea kuandikisha wapiga kura! 5. Mfumo nao bado unawawinda
  11. PreGE2025 Tofauti na CCM katiba ya Chadema haijataja dhumuni kuu la kisiasa ambalo kushinda uchaguzi na kuunda Serikali

    Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  12. PreGE2025 CCM Wamechanganyikiwa, Lissu & Heche kamatieni hapo hapo

    Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu. CCM wanajua kuwa Jumuiya za Ki Matiafa ambazo ndio Mfadhili Mkubwa wa budget ya Serikali inatambua kuwa CDM...
  13. M

    Father Kitima Uko wapi Chadema inaangamia, viongozi wa dini mtatupeleka shimoni msipokuwa makini

    Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu. Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli? Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
  14. B

    Maswali magumu ya waandishi kwa G55 ya CHADEMA

    https://m.youtube.com/watch?v=8X9aksS1quw Baada ya press conference, kundi la G55 waulizwa maswali magumu na waandishi wa habari juu ya wao G55 kupinga No Reforms No Election 2025 wakati uamuzi huo ni wa chama: Chief Odema wa Star TV , John Marwa wa Jambo TV maswali 5 magumu , Humphrey wa...
  15. Kwa jinsi system inavyopambana na CHADEMA badala ya masuala ya msingi ya nchi, sishangai kuona M23 imetupiga huko Congo

    Kwa namna system yetu inavyojihusisha na mambo ya kipuuzi ikiwemo kutengeneza moles kwenye vyama vya Upinzani makini ili kukisaidia Chama cha Mapinduzi kuendelea kuitawala Tanzania na kuwanyanyasa raia masikini wa Taifa hili kwa kweli sishashangai saivi nikiona Tanzania tunapigwa hadi na vikundi...
  16. PreGE2025 Kimenuka CHADEMA kaskazini: Viongozi walioweka saini waraka wa G55 kuitwa kuthibitisha, watakaobainika kukisaliti chama hatua kali kuchukuliwa

    TAARIFA KWA UMΜΑ Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili; 1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye...
  17. Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

    John Mrema Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma. Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI. Anachomaanisha ni...
  18. CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
  19. Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!

    Wanabodi, Declaration of Interest Mimi Pascal Mayalla,ni Mtanzania, mwana jf na ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila kwa vile Chadema inagharimiwa kwa fedha zangu,paid by taxpayers money,hivyo the taxpayers have all the rights and powers kujadili jambo lolote la Chadema over...
  20. PreGE2025 CHADEMA jiandaeni, G55 imekuja kutoa changamoto ya uhuru na demokrasia ndani ya chama

    Kwa kifupi sana G55 imekuja kuchallange uhuru na demokrasia ndani ya CHADEMA rasmi sasa tunaenda kuona mliyokua mkiyahubiri hadharani. Je mtawachukulia kama waasi kwa kuwa tofauti na mawazo na msimamo wa chama?? Je uhuru wa mtu kuchagua na kuchaguliwa ndani ya chadema ukoje mpaka sasa?? Nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…