chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PreGE2025 Mwl. Mbelwa Petro: CHADEMA wanasadifu harakati za mnyama pimbi

    "CHADEMA wana harakati kama za mnyama pimbi, unawakuta juzi wanaimba NO HATE, NO FEAR!, jana wanaimba JOIN THE CHAIN!, leo wanaimba STRONGER TOGETHER!, kesho utawakuta wanaimba NO REFORM, NO ELECTION!, na bangi za Lema zikikolea kichwani anaanza kuwaimbisha wanachama TONE TONE mara NIMO...
  2. B

    PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vijana CHADEMA wanataka kushiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi. "Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
  3. B

    PreGE2025 Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kurekodi ujumbe wa kulaani kukamatwa Tundu Lissu TikTok

    Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo Hilda Newton kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa Helbeth mlelwa akamatwa kwa kosa kurekodi video kukamatwa kwa Mwenyekiti Lissu. "Taarifa za hivi punde serikali ya kupitia jeshi la polisi kanda maalumu Dar es Salaam imemkamata Helbeth Mlelwa mkazi...
  4. SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yaomba maridhiano ya kisiasa ili kushiriki uchaguzi mkuu

    Wanabodi leo nimekutana na hii taarifa kuwa imepostiwa na BBC kwamba CHADEMA wameomba maridhiano ya kisiasa ili waweze kushiriki uchaguzi mkuu. Je, ni kweli?
  5. B

    CCM yakiri, Lissu ni mwiba mchungu; ilitamani mno kuwa na CHADEMA yenye mwenyekiti aliyepigwa mweleka, aka: Mwamba!

    Maneno haya hayaachi shaka hata kidogo: Tuweke rekodi sawa sawa, ipo tofauti baina ya kustaafu na kupigwa mweleka. Misamiati miwili hii ni tofauti. Ama kwa hakika ukisikia mtu mzima kama huyu analalama hivi, "no reforms no election" ni kukamatia hapo hapo mapambazuko ni karibu. "Kamanda...
  6. B

    Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  7. CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

    Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali. Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF. Swali: Je, Chadema...
  8. PreGE2025 Kuna nyufa zinazoipasua na kuigawanya CHADEMA iliyopoteza uelekeo, nini kifanyike kuziba mwanya na pengo la uongozi unaosababisha nyufa hizo?

    Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile. Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa. Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na...
  9. Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Nshala kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni

    Taarifa iliyosambazwa na Chama Hicho kote Duniani hii hapa. Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuongea na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama Mikocheni
  10. Kwa nini CCM kila wakati wanawaza kuwa CHADEMA itakufa!?

    Tangu mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa tena nchini, na tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika mwaka 1995, sijaona chama kinachochukiwa na CCM kuliko CHADEMA. Kitu pekee nisichoelewa, ni kwa nini CCM kila wakati husema hadharani kuwa CHADEMA inakufa ama itakufa! CHADEMA...
  11. K

    PreGE2025 Mwenyekiti CHADEMA - Simiyu akamatwa na Askari baada ya kuachiwa huru Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu, Mussa Onesmo anadaiwa kukamatwa na Askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ambako alikwenda kusikiliza shauri lililokuwa linamkabili Mahakamani hapo. Kwa mujibu wa Wakili wake, Alex...
  12. PreGE2025 Asante sana Brenda Rupia Jonas, Naweza kusema wewe ni Mkurugenzi bora kabisa wa Habari na Uenezi katika kizazi na kipindi hiki

    Leo kwenye pitapita zangu Mtandao wa X nimekutana na post aliyotuma Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Bi. Brenda Rupia Jonas yenye clip ya maneno yaliyowqhi kusemwa na Viongozi mbalimbali (wa Vyombo vya Dola, Chama cha Mapinduzi na Serikali) kuhusiana na kukipendelea Chama cha Mapinduzi...
  13. PreGE2025 Lissu ameiweka Chadema kwenye mtego mbaya sana. Oneni hapa

    👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki. 👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha Upinzani". 👉 Chama hicho kitakuwa ni ACT Wazalendo. Kitapewa viti vya kutosha bungeni na kwenye udiwani...
  14. PreGE2025 Makalla: CHADEMA hawatakuwepo kwenye uchaguzi, Asije akawadanganya mtu eti watakinukisha, akanukishe yeye na familia yake

    Wakuu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala mipango ya kuwanufaisha wananchi, zaidi ya maneno matupu na kampeni ya kuomba michango, na kwamba...
  15. R

    PreGE2025 Maono: CHADEMA na upinzani utapata viti vingi vya ubunge kuliko chama kile, swali, Ni kwa Tume ipi?

    Hellow! Bandiko hili litunzwe. Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli. Utafanyika uchaguzi na CHADEMA itashiriki na itapata wabunge wengi kuliko chama Cha majani mabichi, na jambo hili haliingii akilini kwa...
  16. PreGE2025 Makalla: CHADEMA wameogopa kuingiza timu uwanjani uchaguzi mkuu

    Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya kutegemea maneno na misaada ya kifedha kutoka kwa wanachama wake. Akihutubia mkutano wa hadhara...
  17. SI KWELI PreGE2025 Amani Golugwa amesema CHADEMA imesitisha mikutano yote nchini hadi taarifa kamili itakapotolewa

    Wanabodi nimekutana na hii taarifa, Je, ni kweli CHADEMA wamesitisha mikutano yote nchini mpaka watakapotoa taarifa rasmi tena?
  18. Lissu amechemka, angeanza na reforms ndani ya CHADEMA kwanza

    Ninaamini wengi wa wanachadema waliomchagua Lissu ndani ya chadema waliamini kulikuwa na matatizo yaliyohitaji REFORMS Sasa ukijiuliza hadi leo ndani ya CDM ni reforms zipi zimeanza kufanyika zaidi ya chama kubakia ombaomba?
  19. PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu ujao ni Pigo Takatifu la Kisiasa kwao, ila ni Ishara kuwa kuna Mpasuko na pia hawana Washauri wazuri

    GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya Watu kwa Ushauri thabiti ndani ya Chama cha CHADEMA na Uhai wake. Kwa Kitendo cha CHADEMA...
  20. Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…